Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Katika historia yake ya kisiasa hilo sikuambiwa bali niliambiwa tu kuwa alikuwa;

HP olevel
Spika wa bunge UDSM
Rais wa Law School of Tanzania intake 2015




Sent using Jamii Forums mobile app
Pure qualifications za wasiojulikana!! Hafai Hata robo ndio wanaoiharibu nchi hao, wanajua wao ndio wapigakura halali, wanateua wabunge na kuiozesha nchi!
 
Mwenye Jimbo lake alishatangulia mbele ya haki, Mwenyezi Mungu amrehemu Samwel John Sitta,
jimbo likahikwa na mke wake Mama Sitta ambae mpaka sasa ndio mbunge, baadae zikazuka tetesi kuwa mama anaendelea ila watu wakasema tumemchoka, mama akaona upepo hauko kwake.

Zikaanza tetesi anakuja Ben Sitta upepo ulikata baada ya yeye kuteuliwa kuwa Meya, Upinzani nao wankasi, Je Bado watamuamini Sam Ntakamulenga, CCM nao wataendelea na mama au Ally Masudi Maswanya atajichukulia kiulaini jimbo lake?

Sam Ntakamulenga - Chadema
Magreth Sitta - CCM
Ally Masudi Maswanya - CCM

Nani kulinyakua jimbo la Urambo?
 
Naona mwaka huu jukwaa la siasa lina mamluki kama wote. Bila shaka huku kipenga cha kutangaza nia kimeanza na tayari jimbo la Mwigulu lina wagombea wanne. Vipi kwa Bashe?
 
Hao wakuu wa mikoa waambie mimi na Magu huwa hatupendi ujinga watakosa vyote! Wakamwulize Mwananzila tulichomfanyia,, tulishampoteza kwenye siasa!
Ngoja tuwaone, walishaonywa siku nyingi waache tamaa.
 
Freed Freed,

1. Mkoa wa Arusha.
  1. Jimbo la Arusha mjini wagombea kupitia CCM ni Monabana au Philimon Mollel, RC Mrisho Gambo na mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Asia. Wengine wakiongezeka nitawajuza.
  2. Jimbo la Arumeru Magharibi ni Stephen Zelote, Daniel Ole Njoolay, Elsa Mollel (Mbunge wa zamani) Goodluck Olemedeye (Mbunge wa zamani)na kijana moja machachari jina nalisaka.
  3. Arumeru Mashariki ni Joshua Nassari na Mbunge wa sasa. Nassari anahamia CCM hivi punde.
  4. Ngorongoro: Ole Nasha, Ole Telele na Mhadhiri moja wa chuo cha SAUT.
  5. Monduli: Julius Kalanga MB, Joseph Sokoine, Namelok Sokoine, Fredy Lowassa na Loota Ole Sanare RC Morogoro. Huenda familia ya Sokoine wakafanya kikao ili mmoja ajitoe.
  6. Karatu: Nafanya mawasiliano.
  7. Longido: Dr Stephen Kiruswa MB, na Daniel Marari.


ki2c said:
Mbeya mjini_
  1. Tulia Ackson (CCM),
  2. Joseph Mbilinyi (CHADEMA).








Ndugu wana jf natabiri orodha ya wagombea wa jimbo la Igalula Mkoani Tabora kutokana na tetesi nilizonazo


1. Mussa Rashid Ntimizi, Mbunge wa sasa
2. Athumani Rashid Mfutakamba
3. Habiba Tambulu
4. Hanifa Tambulu
5. Jackson Msome
6. Vennt Daudi
7. Masoud Karatasi


JIMBO LA GAIRO

1.Ahmed shabiby mbunge wa sasa
2. Siriel mchembe Mkuu wa wilaya
3.Willfredy Watambile
4.Joely mmasa
5.Seewa chiduo
6.Ruben Mwegoha


SN.BARRY said:
Shabiby anakatwa, anapewa huyo mkuu wa wilaya. Baada ya hapo shabiby anapewa kesi ya uhujumu uchumi. Stay tuned.
Zile salam kutoka magogoni kuwa simu zake za kutongoza mkuu wa wilaya wanazo nadhani alizipata..kwenye kamati ataambiwa hana maadili.
Natunza hiki ukisemacho Mkuu naona Mkuu wa wilaya kapania jimbo hatar hatar na bila mbinu za kimafsia kama ulizo tabir shabiby bado ana chance

Rungwe Magharibi;
Sauli Amoni MB,
Goodluck Mwangomango na
Richard Kasesela


Malafyale
Kyela CHADEMA:
Charles Mbasa
George Mwakalinga
Mwaipopo Gogodo
Nathan Bablon
Abraham Mwanyamaki

Yyt hapo akishinda kura za maoni na kama CCM itampitisha Dr Mwakyembe wanampiga saa 2 asubuhi


Kigoma Kusini CCM:
1. Hasna Mwilima
2. Kafulila David
3. Mwanamvua Mlindoko, DC Uvinza.
4. Kifu Gulam Hussein
 
Back
Top Bottom