Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

Acha matusi jibu hoja, au unazani uongozi unapatikana kwa hayo matusi unayotukana? Sasa mtu Kama wewe ndio Nani akupe uongozi? Utapewaje uongozi wakati inaonyesha unatatizo linalohitaji matibabu?
Hoja yako iko wapi?
 
Hoja yako iko wapi?
Nimekwambia kuwa mtu hazuiwi Wala kukosa sifa za kuwa kiongozi kwa kuwa tu wazazi au ndugu zake Ni viongozi au waliwahi kuwa viongozi, kinachomfanya mtu kuwa kiongozi Ni sifa alizonazo na uwezo wake kiuongozi,
 
Narudia tena. Huna akili
 
Kina MTU kalazimishwa kushika hizo nafasi wewe binti wa Mchamba wima?

Unachamba kama domo umeoakichwa kwenye blow job. Stupid. Wewe ni mitala was nani huko CCM???
Hayo matusi hayakusaidii kitu, wewe jibu hoja bwanaaa.
 
Pamoja na hayo yote bado hamhamii Burundi na mnacheza kamari

Pesa ipo acha muendelee kukamuliwa
Mwigulu toka alipobatizwa Savimbi na msema hovyo kipindi cha JK nilishangaa sana kupewa nafasi za uwaziri
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Serikali makini sana,
Ulitaka wajae wasukuma pekee au ulitaka nini
 
Mungu kuna mambo anaya acha ili mabadiliko yatokee so tuache wafanye vile wanataka then u shall see the change.
Umekuja teba na hekaya zako. Unafurahi sana sasa Ben Saanane hayupo? Imekusaidia nini?
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Unatafuta vita ya mhutu na mtusi na machawa wataenda wap??
 
Iv magufuli alipokuwa anasema nimesacrifice maisha yangu km kuna baya linikute alikuwa anamwambia nani?kuuliza sio ujinga
Alikuwa anakuambia wewe maskini wa Tz kwani yeye alikuwa raisi wa maskini na wanyonge wa Tz.
Kwa ufupi hakuwa raisi wa sisi matajiri na tusio wanyonge! 😀
 
Harafu mi sio mtanzania mzee na huko tanzania matajir wanahesabika sijawai kuona forbes wamekumention we tajir nkt..
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
CCM kumejaa takataka haswa
 
Put Mohamed Mchengerwa out of this rubbish, moja ya viongozi Smart, mzalendo, mchapakazi, anayejituma, asiye na majivuno, popote anapofanya kazi anacha alama kubwa saaana ni Mohamed Mchengerwa.
 
Back
Top Bottom