Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

Kuna nobility na kuna tarent acha ushamba na kulazmisha maisha sio kla mtu awe na tarent ata nobility inatosha
 
Nchi imelaaniwa na viongozi wake,hawaoni ata aibu, angalia mchujo wa wabunge wa EAC ni ushenzi mtupu.Yaani tiketi ya wewe kuwa kiongozi ni wazazi wako kuwa ndani ya CCM,watu wanaoheshimu chama kuliko nchi!!
Wamemchinjia Baharini hadi PASKAL... Wamebebana wenyewe na watoto. Nahisi yule waziri kutoka jimbo la kusini aliachiwa kadi ya chama kama URITHI na sio mali nyingine.
 
Mletabuzi Samahani,mchengerwa Ni ndugu was nani?
 
Mtu Hazuiliwi Wala kukosa sifa za kuwa kiongozi kwa kuwa tu baba yake au mama yake au Kaka yake au dada yake au ndugu yake yoyote Ni kiongozi, kinachomfanya mtu kuwa kiongozi Ni sifa na uwezo alionao mtu katika kuongoza na kumudu majukumu ya kiuongozi,

Watu wangekuwa na mtizamo Kama wakwako Basi George Bush asingekuwa Rais wa Marekani wala uhuru kenyata kuwa Rais wa kenya Wala Hillary Clinton kushika nyadhifa alizoshika marekani,

Hata hivyo Tambua ya kuwa uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee anayetufahamu na kutujuwa sisi Tungali katika matumbo ya mama zetu,
Angalia

Angalia lilamba asali hili!.
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Wivu tuu za Chadomo wazee wa kiki na wajane wa Sukuma gang otherwise Nchi inasonga kwa Kasi kila Kona..
 
Iv magufuli alipokuwa anasema nimesacrifice maisha yangu km kuna baya linikute alikuwa anamwambia nani?kuuliza sio ujinga
Alikuwa anamwambia MUNGU, akijifanya anaipenda TANZANIA kuliko MUNGU anavyoipenda
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Kwa Mchengerwa nakupinga,ni mtendaji mzuri kwa maoni yangu.
 
Back
Top Bottom