Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Mimi siwezi kuwa chawa Mkuu.

Najua wapo ambao wanamakovu ya milele lakini lazima wasamehe kwani Mungu ndiye mjuzi WA yote, tena aliwasaidia kuwalipia kisasi.
Au walitakaje zaidi
Aliwasaidia kuwalipia kisasi kivipi? Mbona sometimes mnaongea vitu ambavyo havipo?
 

Si Lisu huyo,anaona ndiyo sera ya chama chake.
 

Awazaungumzie hao wabaya walioko hai kimpango wake, kama vipi na ww msaidie kwenye hilo. Sisi tuko na dhalimu magu.
 
Jina lako ni Kainerugaba, wewe na huyo shetani mwendakuzimu wote ni Warundi, no wonder.
 

Well, huwezi kumpangia mwenye maumivu namna ya kulalamika. Kama inakukera, then fuatilia yanayokuhusu.
 
Ila kumtaja Idd Amin kwa mabaya au Hitler?
Ni Bora tusimtaje Idd Amin kwa sababu aliua Waganda ambao sio ndugu zetu au Hitler ambaye auliua Wazungu ambao sio ndugu zetu! Sasa huyu Jiwe kaua ndugu zetu na kutulazimisha tuimbe Mapambio ya kumsifu yeye tu, akamkufurisha Kangi Lugola na na Kalamagamba wakawa wanamuita mungu! Tusipomsema huyo Nduli Jiwe, Mungu YAHWEH atatuhukumu kuwa Watanzania Wote tumekubaliana kuwa Sisi ni Malaika wa Jiwe kama yeye Mwenyewe alivyodai kuwa atakuwa malaika mkuu.
 
[emoji28]..... unajipa umuhimu ambao hauna!
 
we siku hizi umepotoka. Utaachaje kumtaja rais aliyepita wakati yanaibuka mambo mbalimbali ailoyaboronga kipindi cha uongozi wake? Km ni hivyo kwanini tusome historia? Wengi tunaosoma habari zao ktk historia iwe nzuri au mbaya wameshakufa siku nyingi. Hatuwezi kuacha kumjadili Magufuli kwasababu ya wadhifa alokuwa nao siye yeye km Magufuli. Inatakiwa atokee mtu aandike kitabu kumhusu Magu itakuwa ndiyo sehemu ya shule.
 
Yule mzee alikuwa Muuaji na halitapingika hilo,,, shetani kabisa Yule tutamlaani kila siku na kuanika mabaya yake hadi vizazi vijavyo vijue kweli tuliwahi kuwa na Shetani Ikulu
Niko tayari kuchangia gharama za kitabu Kwa muandishi ambaye yuko tayari kuandika kitabu cha Dikteta uchwara Magufuli.

Ni jambo la muhimu sana kuandika kitabu na kutunza hii kumbukumbu muhimu Kwa Taifa.

Na lilivyokuwa linawaza kutesa watu tu muda wote halikujuwa lilipaswa kuandika kitabu chake yeye mwenyewe, Sasa sisi ndio tutaandika kitabu chake, kuna watu wana hoja za kipumbavu eti ana mema yake kwani ni nani aliyewaambia Hitler na Idd Amin hawakuwa na mema?

Kwa washamba wa miundombinu waende South Africa waone jinsi Makaburu walivyoijenga South Africa mpaka inazizidi nchi nyingine za ulaya, Kwa nini hawajiulizi mbona bado watu wamekataa utawala huo mzuri wa makaburu?
 

Hii siyo mizani ya mazuri na mabaya kwamba lazima yawe balanced.
 
Jamaa amekufa Ila bado ana nguvu😁😁 wacha wamtaje tuu hakuna namna
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…