uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,214
- 783
Hoja za kipuuzi unataka asifiwe ila kumtaja kwa mabaya hapana acha uzwazwa wewe yule alikuwa binadamu so mazuri na mabaya yote lazima yasemwe, UKIWA MCHOYO USIWE MROHO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza nimenote mambo mawili kwako Robert Heriel la kwanza aidha wewe ni mpumbavu na la pili mabandiko Yako humu jf yamekufanya uvimbe kichwa na tembo kasifiwa Sasa mgema kapata kazi yake!Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Shetani ana wafuasi wengi sana kuliko hata wachamungu, sasa ingekuwa kweli mnachukia maovu tungeona mkiwa mnakemea huyo shetani kama mnavyofanya kwa Magufuli.Yule mzee alikuwa Muuaji na halitapingika hilo,,, shetani kabisa Yule tutamlaani kila siku na kuanika mabaya yake hadi vizazi vijavyo vijue kweli tuliwahi kuwa na Shetani Ikulu
Mpuuzi sana huyo jamaa halafu anajiita taikon wa fasihi na kina Shaban Robert tuwaiteje?Ingekuwa wewe ndiye uliyepigwa Risasi thealthini,Mtoto wako alipotezwa, Ndugu zako waliuawa(Baba au mama yako) ulibomolewa nyumba yako Morogoro Road bila kulipwa hata mia nazani ungekuwa unamlaani milele hata kama amekufa
Hapa nilipo mie,watanzania wengi wanaoishi hapa uingereza wanamkubali sana jpm,huwa tuna club yetu ya kukutana kila jmos ya mwezi,huwez amin,wanammiss sn jpm,japo wanakili kuwa alifanya makosa kubinya upinzani,Marehemu anakuwaje na ushawishi Mkuu au wewe anakushawishi nini
Basi usiamulie wengine maisha kenge wewe!Magufuli nilimlaani akiwa hai lakini sinaga Laana wala baraka Kwa Watu waliokwisha Kufa.
Kila MTU MTU mpenda Haki alichukizwa na Matendo hayo, ikiwemo Mimi.
Wayahudi wanaomlaani Hitler mpaka Leo unadhani niwajinga wewe ndio mwerevu! Mjinga kabisa wewe!Niujinga uliotukuka mtu kujifanya anatangaza na kulialia eti marehemu amenifanyia ABC wakati huyo marehemu hawezi kujitetea.
Uwongo mwingi sana unasemwa kuhusu Magu kwamba alikuwa mbaya nk.
Uwongo ambao hao mawakala wa walamba asali hawawezi kuudhibitisha.
Wanao sema mazuri ya Magufuli angalau wana fact, kwamba mtu akikuambia Magufuli alikuwa mzalendo unaweza kumuelewa kutokana na mambo makubwa ambayo ameyafanya kwa muda mchache sana.
Mambo ambayo yanaonekana wazi na mpaka sasa Nchi inatekeleza mawazoyake kwa kuendekeza plan zake.
Kumlilia marehemu eti alikuumiza ni ujingatu, mtu amesha kufa sasa hatakama ukilialia ndio unataka iweje, akafukuliwe apelekwe mahakamani?.
Kwa imani yangu mie ni kwamba Mungu hakuumba kiumbe shetani, maovu ya kiumbe ndio hufanya kuitwa shetani, na sio lazima uwe kiongozi dikteta au uwe unauwa watu na kutesa ndio uwe shetani.kwani hujui kwamba yule mzee ni Jamii hiyo hiyo ya shetani
Sasa usilinganishe watu walioko UK na Hawa wakina Ben Saanane ambao hata makaburi Yao hayajulikani yalipo! Kuna bandiko liko humu Ben Saanane alimezwa na chatu kisiwa Fulani Cha bahari ya Hindi kwa usiamizi wa vyombo unalijua Hilo?Hapa nilipo mie,watanzania wengi wanaoishi hapa uingereza wanamkubali sana jpm,huwa tuna club yetu ya kukutana kila jmos ya mwezi,huwez amin,wanammiss sn jpm,japo wanakili kuwa alifanya makosa kubinya upinzani,
Shetani tungekuwa tumtaja kama tufanyavyo kwa Magufuli basi wengi tungekuwa wachamungu.Shetani utaachaje kimtaja kwa ushenzi wake?
Sasa mbona kila siku tunasikia yaleyale tu ya Lissu mara Mo mara maiti kwenye viroba? Wasemaji ni wengi ila yanayosema ndio hayo hayo tu.Kila anayemsema katendwa namna moja au nyingine. Cha muhimu ni wanayosema kama yana ukweli, na mengi kama sio yote yanasomwa yana ukweli. Magufuli alikuwa mwendawazimu asiye na utu.
Mashetani ni wafuasi wa Ibilisi ambaye ni malaika lakini hao wafuasi wake wapo binadamu na majini.Shetani ndio Uovu wenyewe,lakini binadamu hata awe muovu kiaje hakosi jema moja.
Tofautisha Shetani na binadamu.
Kwamba Hitler anazungumziwa na Wayahudi huko sawa au zaidi wanavyozungumzia changamoto zao walizonazo sasa?Wayahudi wanaomlaani Hitler mpaka Leo unadhani niwajinga wewe ndio mwerevu! Mjinga kabisa wewe!
Umemjibu Kwa usahihi huyo mpuuzi!Kuna kitu kinaitwa "closure". Kwa kiswahili cha mtaani tunaweza kuita "kufunga mafaili" ya jambo au suala. Katika utawala wa Magufuli kuna mambo mengi mabaya sana yaliyofanyika ambayo hadi leo hayajapatiwa majibu au tuseme bado yako gizani. Kwa mfano, mauaji ya Akwilina, Lwajabe, miili iliyookotwa kwenye viroba, kupotea kwa Azori, Ben Saanane, risasi za Lissu, kutekwa kwa Mo, Roma, Magoti, wizi wa uchaguzi 2019, 2020. kuzima vyombo vya habari, vyama vya upinzani, ukwapuaji wa fedha za watu benki, bureau de change, n.k. Na majuzi Rais wa sasa kaongezea ufisadi kwenye pesa za "plea bargain" zisizojulikana zilipo.
Yote hayo bado yako gizani. Serikali ya CCM bado haionyeshi utashi wa kuleta CLOSURE kwenye kadhia hizi.
Lazima mkondo wa sheria ufanye kazi, ukweli ujulikane, hukumu sahihi itolewe (hata posthumously ikibidi) na hatua zichukuliwe kwa wahusika waliopo. MUHIMU ZAIDI kwa amani na utulivu wa nchi ni vyema kuwa na mchakato wa maridhiano ya kitaifa (truth and reconcilliation process). Hiyo ndiyo namna bora ya kupata CLOSURE. Maridhiano yanayoendelea ni hatua nzuri lakini haitoshi. Kinachosikitisha sana ni kwamba miaka ya karibuni serikali ya CCM imezidi kuendesha propaganda hatarishi za kuwagawa wananchi.
Kwa wale watakaodai hata awamu zilizopita zina matatizo ya aina hiyo wako sawa ingawa ni wazi kuwa Rais wa awamu ya tano aliyafikisha kwenye kiwango cha kutisha. Yaliyotokea kwa Mwangosi, Zona, Ulimboka na Kibanda awamu ya nne nayo bado "yananing'inia". Hayajapata CLOSURE. Ni doa kubwa kwa serikali ya CCM. Wahenga hawakukosea waliposema "damu ya mtu haipotei bure". Yote haya yataendelea kulitesa taifa kwa miaka mingi ijayo.
Walio na shauku kubwa kutaka Magufuli asisemwe au asitajwe basi waiombe serikali yao ya CCM ichukue hatua kuleta CLOSURE na UTANGAMANO kwa wananchi wote nchini. NA pia wajue wakianzisha mada za kumsifu Magufuli katika mazingira haya ambapo kadhia nyingi za utawla wake hajipata CLOSURE basi wasishangae kujibiwa na wenye kero zao. Waingereza wanaita kujibiwa "in kind".
1). Dikteta Benito Mussolini alianza kutawala Italy tarehe 31/10/1922, karne nzima iliyopita, akapinduliwa tarehe 25/July/1943..Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Kumbe huyu kilaza heriel ni mpare anatutia aibu sana !Usikose kufika Same upate nyama pale bar ya kimweri
Wajifunze nini sasa? Kwamba waogope wakifa watasemwa?Alikuwa kiongozi wa umma hivyo atasemwa ili viongozi wengine wa uma wahifunze.