Sio kwamba hataki wasomi kwenye chama ? embu fikiria vichwa kama akina Kitila ,Profssor safari,Zitto Kabwe wameshindwa kabisa kuhimili visa vya mfalme2015 Lowasa aliwapa faida kubwa Chadema ila kamati kuu imeshindwa kuwalinda nakuwaimarisha hao wanachama wapya,wengine wakaanza kufukuzwa mfano Zitto na Rwakatare, wengine waliunga mkono juhudi na kuelekea vyama vingine mfano,Katambi ,waitara na fratery Masay, Mwenyekiti wetu ukimwekea mambo ya pesa anapindisha Sheria,
Haya mambo ya pesa ndio yamemfanya hataki kuachia uwenyekiti2015 Lowasa aliwapa faida kubwa Chadema ila kamati kuu imeshindwa kuwalinda nakuwaimarisha hao wanachama wapya,wengine wakaanza kufukuzwa mfano Zitto na Rwakatare, wengine waliunga mkono juhudi na kuelekea vyama vingine mfano,Katambi ,waitara na fratery Masay, Mwenyekiti wetu ukimwekea mambo ya pesa anapindisha Sheria,
Who cares?Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Kinasinyaa kwasababu ya ulevi wa kupindukia wa waandamizi wake, kutegemea hisia na huruma za wananchi kujiendesha, ukata na madeni makubwa yasiyolipolika, kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kwa wanaokiendesha chama hicho bila mipango bali makalamiko tu 🐒Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
CCMWatanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Chama kilichosinyaa ni kileWatanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Kwa hiyo unahalalisha chama kisinyae kwa kuwa tu vyama vingine navyo havikuwa ,hivi unawezaje kufananisha ACT na chadema ? Unajua chadema imeanzishwa wakati vijana wengi humu hawajazaliwa ?Kikisinyaa kuna shida? si ndio vingine vinapata nguvu, kama Chadema imesinyaa, CUF iko wapi? ACT ambao walionekana mbadala wako wapi? UDP wako wapi? NSSR-Mageuzi wako wapi? T.L.P wako wapi? mbona hao hawazungumziwi? kama wamekufa wako hai au wamedumaa?
Lakini wakisinyaa si ndio faida kwa CCM maana ndio ilikuwa mpango wao kuua upinzani sasa kama mpango unakamilika mbona maneno tena badala ya kujipongeza?
Kuhusu Dr. Slaa na yeyote akiyetoka Chadema usitegemee ataiongelea vizuri Chadema, huyo slaa enzi zake chadema kiliongoza kwa maadandmano ya kila namna amesahau alivyopasuliwa na polisi? ni sawa na mwanamke mliyeachana naye unategemea atakuongelea mazuri, maneno yake yatakuwa saizi amefubaa sana mimi ndio nilikuwa namsaidia, saizi amechoka yaani amefulia, au anatia huruma hayo ndio maneno mtalaka siku zote.
Kitila na zitto walitoka kwenda kuanzisha chama chao ACT vipi bado wako pamoja? na ni wasomi wa kutukuka
Sijui wanavuta majani ya aina gani aisee ,matusi walionauo sio ya kitoto ? Hivi hapa nchini kuna chuo cha matusi?ngoja waje wenye chadema yao uoge matusi
Chama kinakubali kukopeshwa na Mwenyekiti ?ukiwamuuliza Mwenyekiti tupe tax return yako ndio utashangaaKinasinyaa kwasababu ya ulevi wa kupindukia wa waandamizi wake, kutegemea hisia na huruma za wananchi kujiendesha, ukata na madeni makubwa yasiyolipolika, kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kwa wanaokiendesha chama hicho bila mipango bali makalamiko tu 🐒
Unamuamini ndumila kuwili?Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
CUF, NSSR-MAGEUZI, na TLP viko wapi? kwani hujui CCM wanahusika katika kuhujumu, vijana machachari wenye wananunuliwa na wakifika huko hujifia hawasikiki tena, unapata wapi ujasiri wa kusema eti CHADEMA inafifia ili hali wahusika ni CCM hao hao, kwani huyo Silaa si mlimnunua 2015 ndio akatumika kuwaponda CHADEMA mkampa na ubalozi, akina Nassary, Halima, Ester wote mnao huko wametengenezwa huku, Huyo Zitto katengenezwa wapi?Kwa hiyo unahalalisha chama kisinyae kwa kuwa tu vyama vingine navyo havikuwa ,hivi unawezaje kufananisha ACT na chadema ? Unajua chadema imeanzishwa wakati vijana wengi humu hawajazaliwa ?
Kwa hiyo mmeamua kuwa chama cha kutengeneza?CUF, NSSR-MAGEUZI, na TLP viko wapi? kwani hujui CCM wanahusika katika kuhujumu, vijana machachari wenye wananunuliwa na wakifika huko hujifia hawasikiki tena, unapata wapi ujasiri wa kusema eti CHADEMA inafifia ili hali wahusika ni CCM hao hao, kwani huyo Silaa si mlimnunua 2015 ndio akatumika kuwaponda CHADEMA mkampa na ubalozi, akina Nassary, Halima, Ester wote mnao huko wametengenezwa huku, Huyo Zitto katengenezwa wapi?