Kuendelea "kusinyaa" kwa CHADEMA nani alaumiwe?

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.

Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
 
2015 Lowasa aliwapa faida kubwa Chadema ila kamati kuu imeshindwa kuwalinda nakuwaimarisha hao wanachama wapya,wengine wakaanza kufukuzwa mfano Zitto na Rwakatare, wengine waliunga mkono juhudi na kuelekea vyama vingine mfano,Katambi ,waitara na fratery Masay, Mwenyekiti wetu ukimwekea mambo ya pesa anapindisha Sheria,
 
Sio kwamba hataki wasomi kwenye chama ? embu fikiria vichwa kama akina Kitila ,Profssor safari,Zitto Kabwe wameshindwa kabisa kuhimili visa vya mfalme
 
2015 Lowasa aliwapa faida kubwa Chadema ila kamati kuu imeshindwa kuwalinda nakuwaimarisha hao wanachama wapya,wengine wakaanza kufukuzwa mfano Zitto na Rwakatare, wengine waliunga mkono juhudi na kuelekea vyama vingine mfano,Katambi ,waitara na fratery Masay, Mwenyekiti wetu ukimwekea mambo ya pesa anapindisha Sheria,
Haya mambo ya pesa ndio yamemfanya hataki kuachia uwenyekiti
 
Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Who cares?
 
Kinasinyaa kwasababu ya ulevi wa kupindukia wa waandamizi wake, kutegemea hisia na huruma za wananchi kujiendesha, ukata na madeni makubwa yasiyolipolika, kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kwa wanaokiendesha chama hicho bila mipango bali makalamiko tu 🐒
 
Kikisinyaa kuna shida? si ndio vingine vinapata nguvu, kama Chadema imesinyaa, CUF iko wapi? ACT ambao walionekana mbadala wako wapi? UDP wako wapi? NSSR-Mageuzi wako wapi? T.L.P wako wapi? mbona hao hawazungumziwi? kama wamekufa wako hai au wamedumaa?

Lakini wakisinyaa si ndio faida kwa CCM maana ndio ilikuwa mpango wao kuua upinzani sasa kama mpango unakamilika mbona maneno tena badala ya kujipongeza?

Kuhusu Dr. Slaa na yeyote akiyetoka Chadema usitegemee ataiongelea vizuri Chadema, huyo slaa enzi zake chadema kiliongoza kwa maadandmano ya kila namna amesahau alivyopasuliwa na polisi? ni sawa na mwanamke mliyeachana naye unategemea atakuongelea mazuri, maneno yake yatakuwa saizi amefubaa sana mimi ndio nilikuwa namsaidia, saizi amechoka yaani amefulia, au anatia huruma hayo ndio maneno mtalaka siku zote.

Kitila na zitto walitoka kwenda kuanzisha chama chao ACT vipi bado wako pamoja? na ni wasomi wa kutukuka
 
CCM
 
Chama kilichosinyaa ni kile
1.Kinachoongeza majina hewa serikali ya mitaa.

2.Kinachotumia polisi kuzuia shughuli za kisiasa.

3.Kilichounda serikali inayoteka na kuua wakosoaji wa serikali.
4.Ni kile kinachoigopa CHADEMA na Mbowe//Lissu.

5.Ni kile ambacho kinaogopa umwenyekiti wa MBOWE na kudai amekaa muda mrefu,huku hawajawahi muogopa wala kulalamika kuwa BWANA MAPESA CHEYO WA UDP, wala mzee wa UBWABWA AKA MCHELE Hashim Rungwe.

6.Kinachoshindwa kuaanda Viongozi wajao wakiwa vijana, badala ya wanachukua kwa kurubuni Toka CHADEMA na kuwapa UWAZIRI/UNAIBU na hata sasa wanamtaka JOHN HECHE kwa gharama yoyote ile.

Hapo umeelewa kuwa umeongea kinyume, CCM ndio iliyosinyaa!!
 
Kikisinyaa kuna shida? si ndio vingine vinapata nguvu, kama Chadema imesinyaa, CUF iko wapi? ACT ambao walionekana mbadala wako wapi? UDP wako wapi? NSSR-Mageuzi wako wapi? T.L.P wako wapi? mbona hao hawazungumziwi? kama wamekufa wako hai au wamedumaa?

Lakini wakisinyaa si ndio faida kwa CCM maana ndio ilikuwa mpango wao kuua upinzani sasa kama mpango unakamilika mbona maneno tena badala ya kujipongeza?

Kuhusu Dr. Slaa na yeyote akiyetoka Chadema usitegemee ataiongelea vizuri Chadema, huyo slaa enzi zake chadema kiliongoza kwa maadandmano ya kila namna amesahau alivyopasuliwa na polisi? ni sawa na mwanamke mliyeachana naye unategemea atakuongelea mazuri, maneno yake yatakuwa saizi amefubaa sana mimi ndio nilikuwa namsaidia, saizi amechoka yaani amefulia, au anatia huruma hayo ndio maneno mtalaka siku zote.

Kitila na zitto walitoka kwenda kuanzisha chama chao ACT vipi bado wako pamoja? na ni wasomi wa kutukuka
Kwa hiyo unahalalisha chama kisinyae kwa kuwa tu vyama vingine navyo havikuwa ,hivi unawezaje kufananisha ACT na chadema ? Unajua chadema imeanzishwa wakati vijana wengi humu hawajazaliwa ?
 
Kinasinyaa kwasababu ya ulevi wa kupindukia wa waandamizi wake, kutegemea hisia na huruma za wananchi kujiendesha, ukata na madeni makubwa yasiyolipolika, kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kwa wanaokiendesha chama hicho bila mipango bali makalamiko tu 🐒
Chama kinakubali kukopeshwa na Mwenyekiti ?ukiwamuuliza Mwenyekiti tupe tax return yako ndio utashangaa
 
Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Unamuamini ndumila kuwili?
Ili ujue huyo hafai hata CCM hawamtaki.
 
Kwa hiyo unahalalisha chama kisinyae kwa kuwa tu vyama vingine navyo havikuwa ,hivi unawezaje kufananisha ACT na chadema ? Unajua chadema imeanzishwa wakati vijana wengi humu hawajazaliwa ?
CUF, NSSR-MAGEUZI, na TLP viko wapi? kwani hujui CCM wanahusika katika kuhujumu, vijana machachari wenye wananunuliwa na wakifika huko hujifia hawasikiki tena, unapata wapi ujasiri wa kusema eti CHADEMA inafifia ili hali wahusika ni CCM hao hao, kwani huyo Silaa si mlimnunua 2015 ndio akatumika kuwaponda CHADEMA mkampa na ubalozi, akina Nassary, Halima, Ester wote mnao huko wametengenezwa huku, Huyo Zitto katengenezwa wapi?
 
Kwa hiyo mmeamua kuwa chama cha kutengeneza?
 
Back
Top Bottom