Kuendesha baiskeli

Kuendesha baiskeli

Eti wandugu kuna ajabu / aibu Kwa MTU mzima mwanaume kutokujua kuendesha baiskeli au pikipiki!?
Mwl Nyerere, Waziri mkuu wa Uingereza, na Viongozi wakubwa Duniani waliwai kuendesha baiskeli.
 
Pikipiki sishangai, ila baiskeli kuna umri unakuwa na kimuhemuhe sana cha kujifunza na marafiki hasa umri wa miaka 9 nakuendelea.
Ila sijui kwa wale wa kushinda wamefungiwa magetini.
 
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Ehe...Mzee Baba kweli hayo!?
 
Mwl Nyerere, Waziri mkuu wa Uingereza, na Viongozi wakubwa Duniani waliwai kuendesha baiskeli.
Namaanisha kutokujua jinsi ya kuendesha baiskeli...je kuna MTU mzima.,kijana barubaru ambaye hajui na kwake halimllpi shida!?
 
Sikuwahi kuendesha baiskeli ila siku ya kwanza niliyokuja kujifunza pikipiki Wacha kabisa, nilichogundua ukijua kuendesha baiskeli basi pikipiki hatokusumbua
So now unajua kuendesha baiskeli au bado hujui!?
 
Back
Top Bottom