AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Eti wandugu kuna ajabu / aibu Kwa MTU mzima mwanaume kutokujua kuendesha baiskeli au pikipiki!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwl Nyerere, Waziri mkuu wa Uingereza, na Viongozi wakubwa Duniani waliwai kuendesha baiskeli.Eti wandugu kuna ajabu / aibu Kwa MTU mzima mwanaume kutokujua kuendesha baiskeli au pikipiki!?
Inawezekana..kwani kuna tatizo litatokea!?Yani mpaka unakuwa baiskeli ujui
Ulikuwa niwa kufungiwa ndani au ulikuwa mtawa
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ehe...Mzee Baba kweli hayo!?Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Namaanisha kutokujua jinsi ya kuendesha baiskeli...je kuna MTU mzima.,kijana barubaru ambaye hajui na kwake halimllpi shida!?Mwl Nyerere, Waziri mkuu wa Uingereza, na Viongozi wakubwa Duniani waliwai kuendesha baiskeli.
Kamata mwana 🚬🚬🚬Oya wakishua eb nigei bk 5 ya feg kwanza alf tuongee hl swala lako
Ila baiskeli unasukuma au siyo!?Yaani kitu kinaitwa pikipiki..sijawahi kuguswa kujifunza hata sijawahi kuwa na wazo hata nukta kujifunza kuendesha ....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
So now unajua kuendesha baiskeli au bado hujui!?Sikuwahi kuendesha baiskeli ila siku ya kwanza niliyokuja kujifunza pikipiki Wacha kabisa, nilichogundua ukijua kuendesha baiskeli basi pikipiki hatokusumbua