AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
- Thread starter
- #21
Ehe..namna gani aisee .!?Kichekesho cha aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehe..namna gani aisee .!?Kichekesho cha aibu
Baiskeli je unaendesha!?
Sijui ila ni dereva bodaboda mzuri tuSo now unajua kuendesha baiskeli au bado hujui!?
Mambo yakawaida tu hayoYani mpaka unakuwa baiskeli ujui
Ulikuwa niwa kufungiwa ndani au ulikuwa mtawa
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
So kumbe inawezekana kabisa ...Ila kuna kaugumu Fulani sio!?Sijui ila ni dereva bodaboda mzuri tu
Hamna mwanaume lazima uwe umeendesha baskeliMambo yakawaida tu hayo
Ugumu upo hasa kwenye ku maintain balanceSo kumbe inawezekana kabisa ...Ila kuna kaugumu Fulani sio!?
Imeandikwa wapi!?
Ilikuchugua muda Gani kuelewaUgumu upo hasa kwenye ku maintain balance
Week 2 tu ila majeraha kama yoteIlikuchugua muda Gani kuelewa
Tofauti yake na hizi zingine kwenye kujifunza ikoje!?Nauza mountain bike hiyo 150k chukua ujifunze kuendeshaView attachment 2359787
Aisee..kweli ulipania aisee...ulikuwa.veta nini!?Week 2 tu ila majeraha kama yote
Bro...roho haikuumi kuona wenzako wanaendesha!?Baiskeli na pikipki sina mpango Nazo kabisa, hata sikuwahi kujisumbua kujifunza
Ndio ulikuwa unapelekea kujua aiseSiku ya kwanza niliyojifunza nikamhonga mbibi wa watu barabarani basi sijarudia hadi leo.
Ndio ili ujue sasaMie baiskel ilinishinda, siku ya kwanza kufundishwa nilipoanguka na kujifunza kukaishia hapo. Unaambiwa ati ili ujue kuendesha baiskel laziim mpk uumie......kuumia huko vipi [emoji23]