Kuendesha baiskeli

Kuendesha baiskeli

Nauza mountain bike hiyo 150k chukua ujifunze kuendesha
IMG_20220917_131151.jpg
 
Baiskeli na pikipki sina mpango Nazo kabisa, hata sikuwahi kujisumbua kujifunza
 
Mie baiskel ilinishinda, siku ya kwanza kufundishwa nilipoanguka na kujifunza kukaishia hapo. Unaambiwa ati ili ujue kuendesha baiskel laziim mpk uumie......kuumia huko vipi [emoji23]
 
Mie baiskel ilinishinda, siku ya kwanza kufundishwa nilipoanguka na kujifunza kukaishia hapo. Unaambiwa ati ili ujue kuendesha baiskel laziim mpk uumie......kuumia huko vipi [emoji23]
Ndio ili ujue sasa
 
Baiskeli kujifunza ilikuwa kitambo Sana toka bwanamdogo kabisa,pikipiki kidato cha kwanza tayari naendesha ila baadae nikaachana nayo hadi sasa sijaigusa...
 
Back
Top Bottom