Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Wee komwe mjinga mmoja ikiwa hamwezi uchaguzi huru na haki kwanini mnapoteza pesa kila siku kwa uchaguzi?

Ukitaka uchaguzi wa haki subiri milele. Hapa najadili umimi uliopo kwenye upinzani. Idadi kubwa ya wapiga kura hawatopiga kura kwasababu hawaoni upinzani imara. Kutoksna na ubinafsi wao hadi Leo hawajasema lini watatoa tamko la kuunganisha. Na tatixo kubwa ni ACT. Wameamua kumleta Membe ili agawe kura.

Ndio maana nasema, wapigwe tu hakuna namna.
 
Ni kwamba unawashwa na unahangaika kutafuta basha, au?!
 
Hao makamishna watume na ccm wahuko Pemba sahivi washachanganyikiwa
WATAANZA NA HAO MAKAMISHNA WA TUME .Kisha
Wataelekea kwa wana CCM mmoja mmoja nyumba kwa nyumba, kikinuka tutakufa wote,
Zamu hii hatupambani na Jeshi wala Polisi, Chama kwa chama.
Polisi itabidi wajipambanue watimize wajibu wao kama Walinzi wa Raia .
Na Jeshi liendelee kulinda nchi.
Mauwaji yakizidi wapindue Serikali iwe chini ya jeshi na uchaguzi Basi.
Si CCM wala Wapinzani watakaotawala bali Mkuu wa Majeshi na Mwanasheria Mkuu.
Huu ndio mwisho wa Dhulma za Kijinga.
 

Attachments

  • ccm yakamia mauwaji kwa wapinzani.mp4
    6.5 MB
Kwenda wewe Fala .
Tatizo ni CCM kuwakata wagombea wetu wa Upinzani,
Membe ni sehemu ya waathirika wa CCM isiyopenda Democracy.
Tume ya CCM isiyokuwa huru inaipendelea CCM , kutofanya haki na kuweka vikanuni vya kibwege. Eti kuunngana mwisho miezi Mitatu kabla ya tarehe ya uchaguzi.
Yaani watu hawana haki ya kuungana baada ya hapo ,hili hulioni Wewe PIMBI
 
Nsubiria kwa hamu kupambana na CCM uso kwa uso hata kamaatakuwa Babu yangulazima nimuwahishe,
Kama hali yenyewe ndo hii , Hawahawakukusudia uchaguzi ngo.
 

Attachments

  • Green Guard.jpg
    107.7 KB · Views: 1
  • machotara-CCM 2015.jpeg
    52.1 KB · Views: 1
  • CCM MBOKO MBOKO.mp4
    11.6 MB
Usipanick, ccm wataweza kuwanyima haki wapinzani legelege, upinzani usio na umoja, upinzani ulio na mamluki ndani yake. Watu wa kawaida hawamwelewi membe, sana wasiwasi na seif. Hawamwelewi zitto.

Ni kama kikundi cha watu wanaotumika. Leo sefu kaiza znz mchana kweupe. mazungumzo kati ya sefu na mfalme yashazaa matunza asubui mapema.

Naaminj cdm kama chama kikuu cha upinzani bado kina mashaka na mwenendo na ACT.

Kila wanapomuona membe wanamkumbuka Lowasa, wakikumbuka kikao na mfalme wanakumbuka unafiki uliopo ndani ya vyama vidogo.

Wapemba wakitaka kwenda kuvunjwa miguu waende, lkn wengi wetu tulihitaji upinzani wataja umoja, wapinzani walioungana.
 
Kuungana si jambo nyepesi kama unavyoongea .
CCM imeweka mazingira magumu mno ya kuzuia miungano ya kipinzani.
Kura za Raisi zina saidia sana kukiongezea chama ruuzuku.
Kila chama kinataka ku survive kwa hiyzo ruzuku angalau kujijenga na kujiwekea miundo mbinu.

Chadema Tulikiunga mkono kwenye uchaguzi wa 2015 kwenye uraisi na kumnadi lowasa wa chadema na Maalim wa CUF.
Lowasa wa Chadema alipata kura Mil. 6 ambazo zinaipatia chaema ruzuku kubwa tuu kwa mwezi.
huku ikiachia CUF ya wakati ule bila ya Ruzuku ya wingi wa kura za Raisi.
Maalim aliondowa Ubinafsi, lakini Lipumba alinuna.
Je Leo Tukiimbia Chadema muunge mkono mgombea wetu zamu hii ili endapo tukishindwa tufaidi Ruzuku ya Kura z aRaisi watakubali?

Hili ndio tatizo.
 
Hii ni hatari sana, lakini ccm na serikali zake ndio wametengeneza hatari hii. Ila naamini kwamba wao si watawala bali ni viongozi, na kwa kuwa wao ni viongozi basi hatari hii inaweza kuhepukika kwa kuweka maridhiano mazuri kwa maslahi mapana ya taifa na watu wake.
 
Wapemba awamu ya mkapa waliowahi kuamua kuwa wakimbizi, na waliokimbilia Mombasa nchini Kenya. Chezea wapemba we
Na watoto wa vigogo wa CCM pamoja na mawaziri wa muungano. Kuna waliokimbilia ulaya na Canada na wengine wana passports mbili
 
Sasa huyu babu anasema ntume akishasema basi jeshi linakuwa tayari tayari ,,
Ntume wao ni nani ?
ZITO
MAALIIM SEIF
AU HUYU babu anaeongea ndio ntume
Wapemba akili zao bhana wanapenda kuchanganya DINI na SIASA
Si wapba ni Maaskofu wa. Kikatoliki ndio wanaochanganya dini na siasa ukitaka ushahidi nitakuwekea
 
this message is too heavy for an ordinary citizen!
 
Are you sure?
 
Hamna kitu system works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…