Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Nafaham kiapo cha raisi nipamoja nakulinda mapinduzi ya Zanzibar, lakini sio kulinda kwa kumwaga damu zawatu wanaohitaji haki itendeke, kiukweli nashindwa kuelewa wenye madaraka kwa nini wasiongoze kwa haki tu?.
Na wanachokitafuta, watakipata tu kwa sababu Wapemba nahawafahamu... wale jamaa hawaogopi mtu, na hawatetereki misimamo yao! Na hata wafanye nini, CCM wataendelea tu kukataliwa Pemba kwa sababu huu ni urithi... walianza kukataliwa babu zao wa TANU & ASP, na sasa wataendelea kukataliwa wao!
 
Mungu wangu Mbinguni awape busara viongozi wetu hawa! Jahazi likizama tutazama wotez tuna watoto, walemavu, wagonjwa na Wazee, itakuaje? Ccm tumieni akili kidogo basi
 
Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.

Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu

Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.

Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!

View attachment 1552518
Tangu lini ccm wanajali kumwagika kwa damu za watanzania, kama huyu kiongozi wao wa sasa ndio hana utu kabisaaaaa.

Bora Mkapa alikuja kutubu uzeeni baada ya akili za ubinadamu kuanza kumrudi.
 
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.

Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
Nakubaliana na Wapemba ,Tarehe 11 wakinukishe mazima.
 
Ili mradi huo ushenzi, udhalimu na uhuni wa kisiasa unataka kupingwa kwa nguvu zote huko Znz, sina shaka hilo litatokea manake Zanzibar, hususani Pemba sio wanafiki kama watu wa Bara.

Na hakika hakuna kiongozi mpumbavu kwa nchi kama Tanzania kama yule anayejaribu kutaka kuvuruga siasa za Pemba kwa sababu kila mwenye akili timamu nchi hii anafahamu Wapemba huwa hawataki ungese wa aina yoyote!

Sie wengine tumeshaishi sana na Wapemba huku tukiwaita Wakojan, hawa jamaa hawaogopi kitu! Kwanza Mpemba aliye mathalani Arusha, wala haoni taabu kubeba begi lake kwenda Pemba au Unguja kwa ajili tu ya kwenda kupiga kura!! Hakuna kiumbe wa jamii nyingine kwenye Jamhuri ya Muungano anayeweza kufanya hivyo ukimtoa Mpemba!

Na kingine ninachowapendea Wapemba, ule ujinga wa "sasa ni mtu wa nyumbani" kama tulio nao Bara wao hawana! Sitawasahau watu wa Kanda ya Ziwa, hususani baadhi ya Wasukuma walivyoisaliti CHADEMA mwaka 2015 kwa sababu tu CCM walimweka Msukuma mwenzao!

Pale Zanzibar CCM wakimweka hata Mpemba; Wapemba watamkataa tu kwa sababu wasichotaka Wapemba ni takataka yoyote kutoka CCM!!

Sasa kujaribu ku-mess na watu wa aina hiyo ni kutaka kujaribu kuliangiza taifa kwenye machafuko!

Majahili ya CCM badala ya kutumia njia za kifedhuli wanatakiwa wakae watafakari kwanini takataka yoyote yenye elements za Bara haitakiwi kwenye siasa za Pemba! Na wakumbuke, kule Pemba CCM walianza kukataliwa hadi Babu zao wa ASP!

Ha ha ha ha takataka kutoka CCM
 
Hopelessly agitated, unajitikisa kwa vitu vyakupita. Wapemba utafikiri watabadili maisha ya kwa uchaguzi. Kwa maslahi ya taifa watagongwa na watazikwa kwa grader.
Taifa kwanza .

Hiyo ni furaha kwako mwenye roho mbaya iliyojaa laana!Mwenye roho iliyojaa umauti.

Nenda kafurahie na ndugu zako kwa kuwa wapemba watakufa tarehe 11/09/2020
 
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.

Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
Usipende kutumia wingi Mambo uliyopost pekeako... Sema uko tayar kufa
 
Hopelessly agitated, unajitikisa kwa vitu vyakupita. Wapemba utafikiri watabadili maisha ya kwa uchaguzi. Kwa maslahi ya taifa watagongwa na watazikwa kwa grader.
Taifa kwanza .
Wewe utaishi milele ?

Pumbavuuuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hopelessly agitated, unajitikisa kwa vitu vyakupita. Wapemba utafikiri watabadili maisha ya kwa uchaguzi. Kwa maslahi ya taifa watagongwa na watazikwa kwa grader.
Taifa kwanza .
Sasa suala la taifa kwanza linatoka wapi hapo?! Kuna uhusiano gani na issue ya taifa kwanza na kuwalazimisha wananchi kuongozwa na viongozi wasiowataka?!

Watu aina yenu ndo wale mnaojidhani mko salama kwa sababu tu mnakesha mkiimba mapambio ya madhalimu yaliyopo madarakani! Kwa kukumbusha tu, dhalimu mwingine ambae alijiona ni rais namba 2 anayeitwa Daud Albert Bashite, leo hii amezuiwa huko Dodoma kwenda kukaa kwenye majukwaa aliyodhani anastahili.

Sasa endelea kushadadia upumbavu na udhalimu wa serikali kwa kudhani upo salama lakini wewe ni toilet paper tu ya kuimba nyimbo za madhalimu na ambapo, ukishatumika tu unageuka kuwa useless na kutupwa kwenye dustbin!

Na itoshe tu kusema kwamba, heri yao watakaokufa wakipambana dhidi ya udhalimu kuliko wanafiki aina yako watakaokufa huku wakiwa watetezi wa madhalimu!

Shame on y'all!
 
Sasa suala la taifa kwanza linatoka wapi hapo?! Kuna uhusiano gani na issue ya taifa kwanza na kuwalazimisha wananchi kumchagua kuongozwa na viongozi wasiowataka?!

Watu aina yenu ndo wale mnaojidhani mko salama kwa sababu tu mnakesha mkiimba mapambio ya madhalimu yaliyopo madarakani! Kwa kukumbusha tu, dhalimu mwingine ambae alijiona ni rais namba 2 anayeitwa Daud Albert Bashite, leo hii amezuiwa huko Dodoma kwenda kukaa kwenye majukwaa aliyodhani anastahili.

Sasa endelea kushadadia upumbavu na udhalimu wa serikali kwa kudhani upo salama lakini wewe ni toilet paper tu ya kuimba nyimbo za madhalimu na ambapo, ukishatumika tu unageuka kuwa useless na kutupwa kwenye dustbin!
Huu ndio msimamo wa Maalim Seif juu ya kuenguliwa wagombea wa ACT Wazalendo - YouTube
 
Back
Top Bottom