Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Lawama na laani zote ni juu ya JIWE, mpuuzi sana huyu.Hayati Mkapa alijuta mpaka siku anaondoka duniani kumwagika kwa damu ya wazanzibar mwaka 2001. Alijitahidi sana kadri ya ushawishi wake kuwaasa viongozi waliokuja baadae waiangalie Zanzibar kwa jicho la umakini maana uonevu kwa wale watu unaweza pelekea hata hao watu kuukataa muungano wenyewe, ikifikia hatua ya wao kuukataa muungano hata upeleke majeshi milioni utaishia kumwaga damu zaidi tu lakini kamwe hutopata ridhaa yao!.
Kama kuna watu wenye akili na wanatafakari waufanyie kazi ushauri ule wa Mkapa la sivyo nao wataburuzwa ICC kwa umwagaji wa damu za wananchi!