RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Umeelewa nilichoandika?. Umeangalia hio video, mataga bana.Usipende kutumia wingi Mambo uliyopost pekeako... Sema uko tayar kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilichoandika?. Umeangalia hio video, mataga bana.Usipende kutumia wingi Mambo uliyopost pekeako... Sema uko tayar kufa
Nahuo ndio upuuzi wa tume, kutaka kutoa roho za watu kwa kumfurahisha Pombe.Huo ndio upumbavu wa ndugu zetu wa Pemba unakubali kutoa uhai wako kwa sababu ya kumfurahisha Maalim Seif mtu ambaye anatamani kukaa ikulu kwa gharama yoyote safari hii Maalim achukue jambia alafu atangulie mstari wa mbele
Tuliza wenge mtadhibitiwa ipasavyo!
Wengi waliokooo hiyo ulaya au London yako walienda lini??? Baada ya ule uchaguzi na kukimbilia mombasa na enzi hizo wa Tz UK walikuwa wana ruhusiwa kuingia UK kwa kupewa visa hapo uwanja wa Ndege ndani ya UK, na baada ya hapo ndio waliotuharibia maana sasa visa unachukulia Bongo. Hivyo usitake kudanganya watu.Wapemba duniani kote wako wapemba wako London tena wana mtaa hasa na wapemba kwa kutafuta maisha njee ya Tanzania wako wengi na wapemba walioko ulaya hauzi karanga wala maji ya kandoro
Mkuu hiviTuliza wenge mtadhibitiwa ipasavyo!
baada ya kile kichapo serikali na wapemba walikubaliana kutofanyana vile tena.Inaonekana ulizaliwa kipindi cha Kikwete. Kama ungezaliwa nyuma ya hapo ungewajua Wapemba vizuri.
Nakataaa. Kila kona wananchi wamechoka ...Tume ya NEC italeta madhila makubwa sana kipindi hiki na kila mmoja weru atajutia kuanzia sisi tunaoonewa nayo, waliyoituma na wafuasi wao
Kama hayo uliyoandika ndo yanawasukuma kumwaga damu basi andika sifuriwapemba nawaaminia walikinukisha 2001 wakapata serikali ya mseto mwaka huu wakikinukisha vizuri watapata uhuru wa nchi yao.
wee puunzi nani anaogopa jelaJela inamuhusu huyo anahamasisha uvunjifu wa amani
ni kuuingza wasomali tu waje wadeal naoWacha wazibe masikio, Pemba wakiliamsha wakajifanya kupeleka askari huko na huku bara linaamshwa sijui itakuwaje?
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.
Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
View attachment 1552499
Kumekucha, Robert AmsterdamKatika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.
Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu
Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.
Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!
View attachment 1552518
Wapemba awamu ya mkapa waliowahi kuamua kuwa wakimbizi, na waliokimbilia Mombasa nchini Kenya. Chezea wapemba weInaonekana ulizaliwa kipindi cha Kikwete. Kama ungezaliwa nyuma ya hapo ungewajua Wapemba vizuri.
Lakini tambua hata askari polisi nao watazikwa sio raia peke yao. Hio 2001 kuna askari walitenganishwa kichwa na kiwiwili kama umezaliwa juzi ulizia historia.Hopelessly agitated, unajitikisa kwa vitu vyakupita. Wapemba utafikiri watabadili maisha ya kwa uchaguzi. Kwa maslahi ya taifa watagongwa na watazikwa kwa grader.
Taifa kwanza .
Kwa nn umfikirie kuwa ana roho mbaya??Hiyo ni furaha kwako mwenye roho mbaya iliyojaa laana!Mwenye roho iliyojaa umauti.
Nenda kafurahie na ndugu zako kwa kuwa wapemba watakufa tarehe 11/09/2020
Hao wapemba wengi walioko ulaya wa Ardhi, na mashamba Kama walioko bara!? Hakuna watu wa visiwani wapumbavu Duniani.. hakuna moemba mjinga adisturb ecosystem inayomuhakikishia future. Muungano upo na unaendelea kuwepo.. ukiondoa mamluki wachache wanaotaka madaraka Kama wakokosa watakufa.Wapemba duniani kote wako wapemba wako London tena wana mtaa hasa na wapemba kwa kutafuta maisha njee ya Tanzania wako wengi na wapemba walioko ulaya hauzi karanga wala maji ya kandoro