Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Huu msamiati wa haki ni mgumu na mchungu kwel kwa chama chakavu
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.
Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
View attachment 1552499