Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Huo ndio upumbavu wa ndugu zetu wa Pemba unakubali kutoa uhai wako kwa sababu ya kumfurahisha Maalim Seif mtu ambaye anatamani kukaa ikulu kwa gharama yoyote safari hii Maalim achukue jambia alafu atangulie mstari wa mbele
Ile nywiii...ameshafika Uingereza si ndo zake.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hao wapemba wengi walioko ulaya wa Ardhi, na mashamba Kama walioko bara!? Hakuna watu wa visiwani wapumbavu Duniani.. hakuna moemba mjinga adisturb ecosystem inayomuhakikishia future. Muungano upo na unaendelea kuwepo.. ukiondoa mamluki wachache wanaotaka madaraka Kama wakokosa watakufa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukiona maskini na maskini wanaungana ujue Kuna shida na huo muungano wao ni shida tupu. Kwa Sasa muungano hauna kazi,wacheni wazanzibar wajitawalw,wachague viongozi wao wanao wapenda. Kule bara hawaoni,faida za muungano.huku Pemba na unguja hatuoni faida za muungano Bali watu kugawana madaraka tu.
 
Usitupie lawama CCM, walioapa kumwaga damu ni wapemba tena wafuasi wa ACT
Hakuna kitu kinanifurahisha Kama watu kutokuwa objective.. kila baya likiwakuta na CCM .. akitembea akijikwaa ..CCM, akilala ki mawenge mawenge CCM, akiuma mchanga kwenye ubwabwa CCM.. pathetic..

Na hii inaonesha jinsi gani tumekosa ability to critically analyze things... Hakuna kitu kibaya asilimia 100, na Wala Kizuri asilimia 100. Just analyze and pick the best for your situation.

Periodt

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani hii kitu inaitwa albadri iko effective kweli? Kama ipo Kwanini asisomewe huyo aliyeasisi huu udhalimu?
 
Nawaomba tiss wamchunguze sponsor wao anapolipeleka taifa hata wao watashindwa kuli contain.
 
jiwe ataharibu amani ya Zanzibar acha haki itendeke,Jiwe na ccm yake watakuwa tayari kuporwa ushindi wao,kama wasivyopenda kuporwa ushindi wao,waelewe kabisa na Zanzibar haiko tayari kuporwa ushindi halali
 
Ukiona maskini na maskini wanaungana ujue Kuna shida na huo muungano wao ni shida tupu. Kwa Sasa muungano hauna kazi,wacheni wazanzibar wajitawalw,wachague viongozi wao wanao wapenda. Kule bara hawaoni,faida za muungano.huku Pemba na unguja hatuoni faida za muungano Bali watu kugawana madaraka tu.
Acha kuwaongopea... Dua la kuku halimpati mwewe.. kaa ufikirie objectively uniambie kwann unahisi hayo unayoyataka.

Ni chuki yako wewe ? Au yao!?
Je ni wewe mwenye hasira au wao au wewe na wao!?
Kama ni wewe, kwann utamani kuona wao ndio wanalipa juu ya hiyo chuki!?

Tuna shida moja Kama Watanzania, sisi Ni wazito kujisemea.. na mara nyingi tunataka haki zetu kupitia migongo ya wengine. Tunadhani mtu akipata ajali Basi Mungu amekulipia..

Mungu Amekupa vitendea kazi Mwili. Usiporidhika nenda ukaseme..Kama ni kupigana..pigana ili upate stahiki yako. Sio kuwachochea vulnerable people over your own anger and vengeance.

Kwa kifupi hakuna Taifa linaenda Kama kumimina maji kwenye glasi. Ndio maana tunavote.. Kuna watu wanaowaza hivi na wengine vile.. Ila tukisha kubaliana kwenye ballot box Basi wote tunawaza mamoja. Na tunapimana kwa kile tulichokubaliana kukichagua.

Sasa ulikipenda au hukukipenda that's your problem. Ila fairly utekelezaji utapimwa kwa kile tulichokichagua kwa kura. Na utekelezaji wake so far ni mzuri. Kama wanataka kupigana wapemba basi exertion of a little force must be allowed to keep the Republic going.

Na usinimind kwa kukubali a little force to be used.. hata wamarekani wanatumia nguvu, mpaka leo Ireland inataka kujiachia toka Great Britain lakini hawairuhusu.. China na Taiwani and Hong Kong.. usibweteke.. hivyo ndivyo mataifa yanavyoongozwa..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hao wapemba wengi walioko ulaya wa Ardhi, na mashamba Kama walioko bara!? Hakuna watu wa visiwani wapumbavu Duniani.. hakuna moemba mjinga adisturb ecosystem inayomuhakikishia future. Muungano upo na unaendelea kuwepo.. ukiondoa mamluki wachache wanaotaka madaraka Kama wakokosa watakufa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani muungano watu wameungama na tarehe inajulikana mungano ni sawa sawa sawa na ndoa mdaa wowote mwaweza kuachana hamna mkataba wa milele bora nyinyi mubaki na Tanganyika yenu sisi tubaki na Zanzibar yetu
 
Alidhani akinunua mindege ambayo sasa inapigwa vumbi na kuingiza hasara kubwa kwa Taifa na kufanya miradi kama bado yuko Ujenzi basi itatosha kumpa ushindi wa TSUNAMI. Sasa kagundua hapendwi hata chembe na uchaguzi huru hachomoki atapigwa chini asubuhi subuhi hivyo kaamua kufanya uhuni mapema kabisa wa kuengua wagombea wa Vyama vingine kihuni, kugomea kuwepo na Tume Huru ili kutimiza uhuni na ujambazi wake wa kuendelea kubaki madarakani kupitia mtutu wa bunduki hali kadhalika kule Zenj maccm hayapendwi hivyo yameamua kule nako yaengue wagombea na mtutu kutumika tena kama 2015, 2010, 2000 na 1995 kung'ang'ania madaraka kimabavu. Nina wasiwasi mwaka huu kutatokea mauaji makubwa sana na ya kutisha.
Hivi unaongeaga nini? Mauaji unayajua wewe au unaandika tu, ushawai kuwepo battle field hata saa 1 tu (uliza rwanda)
Unaongea sana.
JPM mbele 20020
 
Hao walioenguliwa niamini watarudishwa unless hao vibaraka wakaishi baraks za jwtz VINGINEVYO watawachija mchana kweupee
 
Wakinukishe tu maana watu wanataka kutumia mtutu wa bunduki ili kung’ang’ania madarakani.
 
Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.

Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.

Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu

Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.

Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!

View attachment 1552518
Na wewe andika husia
 
Uzuri ni nini, mnaojifanya mmekinai Amani hata Congo, Somalia au South Sudani hamjafika. Msilolijua ni Kua hapa bongo na majirani Baadhi ya watu wamefika mpaka Iraq ktk kipindi cha Vita kutafuta maisha.
Niwashauri wenye elimu watulie kabisa waache mbwembwe kwani Km maisha mazuri wameyakosa ktk amani naapa hawatayapata Nchi ikiwa kwenye fujo hata siku moja.
Nawatahadharisha amani ikiondoka majambazi ambao sio wa kalamu wata takeover. Kuwa makini ulisomeshwa bure acha na wenzio wasome bure.
Nchi ikichafuka wewe unaojifanya msomi utakiona cha moto.
SURVIVOR FOR THE FITTEST imewaweka mbali wasomi wengi mtaishia kukimbia nchi huku vikundì vya kiharifu vikiungana.
Tulizike na amani tulionayo huku tukitafakari yaliyoikumba Libya.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia namba ya Zitto haipatikani na nyumbani pake pako kimya hapana harakati yoyote
 
Uzuri ni nini, mnaojifanya mmekinai Amani hata Congo, Somalia au South Sudani hamjafika. Msilolijua ni Kua hapa bongo na majirani Baadhi ya watu wamefika mpaka Iraq ktk kipindi cha Vita kutafuta maisha.
Niwashauri wenye elimu watulie kabisa waache mbwembwe kwani Km maisha mazuri wameyakosa ktk amani naapa hawatayapata Nchi ikiwa kwenye fujo hata siku moja.
Nawatahadharisha amani ikiondoka majambazi ambao sio wa kalamu wata takeover. Kuwa makini ulisomeshwa bure acha na wenzio wasome bure.
Nchi ikichafuka wewe unaojifanya msomi utakiona cha moto.
SURVIVOR FOR THE FITTEST imewaweka mbali wasomi wengi mtaishia kukimbia nchi huku vikundì vya kiharifu vikiungana.
Tulizike na amani tulionayo huku tukitafakari yaliyoikumba Libya.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Je unawaasa vijana walidhike na CCM?
 
Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.

Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.

Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu

Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.

Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!

View attachment 1552518
Hao waliohimizana kuandika wosia Maalim seif nae yupo au anataka wenzake waandike wakaandame wafe halafu arithi wake wa wenzake.
 
Back
Top Bottom