4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wala sina shida na andiko lako ,maana ni haki yako kutoa maoni yako, but zingatia nililo lisema na ikiwezekana mwambie na mwenyekiti wako, 2025 ccm itachakaa vibaya mnomapendekezo na ushauri wangu muhimu kwa wanasiasa wakongwe umekuudhi, dah π
actually,Mkuu.
Hakuna fedheha yoyote kwenye kushindwa katika sanduku la kura.
Inawezekena wewe tu ndiyo hujui lakini hayo mambo siyo personal na mtu yoyote anayeyachukulia hivyo hapaswi kugombea uongozi wa umma kupitia kura.
Ila nadhani pia ulitafuta kisingizio cha kutueleleza kuwa mama ndiye anayeleta mvua za vuli na mbaraa kwa wabongo wote na mtu mmoja mmja..
Sina pingamizi na maoni yako hayo.
ni muhimu zaidi hata kijaribu kumtulivu kiongozi mkongwe wa kisiasa asithubutu kupoteza rasilimali zake kwenye urasi, ni ama apate fedheha ya kushindwa vibaya sana au aingie kwenye historia ya Tanzania kwa kushindwa vibaya sana na mgombea urasi mwanamke πnaomba Mungu anijalie utulivu nifunge mdomo
Amen
Hapo mwisho umeandika uhalisia. Upinzani mkubwa ni kwa wapiga kura hawapendi ila hawana mtu sahihi wa kumchagua.Kwenye uraisi CCM tutatangazwa washindi, huku picha nzima ikionyesha upinzani mkubwa toka kwa wapiga kura na si kutoka vyama vya upinzani.
imani potofu na ushirikina ni miongoni mwa utumwa wa hovyo sana unachochea umaskini wa fikra kwa kiwango kikubwa sana kwenye jamii,
hawapendi kuambiwa ukweli kama hivi, ingawa ndio hali halisi πNyerere aliwaambia wazi kabisa upinzani wajikite kwenye ubunge na udiwani uraisi bado sana anyway ni haki yao kugombea kuwinda ruzuku
Lakini 2025 wakitoa mgombea uraisi hasa Chadema watapata kura chache kuliko miaka yote waliyogombea kura za uraisi
Chama kime loose popularity sana
Ni Vibarate kwa huyu alieshindwa na 4R zake.usivibrate na hadi unatoka nje ya hoja gentleman, relax tu π
wale ambao watampatia ushindi wa kishindo 2025, actually ni waTanzania wote nchi nzima πHivi huwa unawazungumzia watanzania gani wanampenda? Kwakweli huku mtaani mpaka wana CCM wamemkataa na kama unabisha aruhusu form zaidi ya moja na uchaguzi huru wa chama chake uone kama atatoboa.