Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mapendekezo na ushauri wangu muhimu kwa wanasiasa wakongwe umekuudhi, dah 🐒
Wala sina shida na andiko lako ,maana ni haki yako kutoa maoni yako, but zingatia nililo lisema na ikiwezekana mwambie na mwenyekiti wako, 2025 ccm itachakaa vibaya mno
 
Mkuu.

Hakuna fedheha yoyote kwenye kushindwa katika sanduku la kura.

Inawezekena wewe tu ndiyo hujui lakini hayo mambo siyo personal na mtu yoyote anayeyachukulia hivyo hapaswi kugombea uongozi wa umma kupitia kura.

Ila nadhani pia ulitafuta kisingizio cha kutueleleza kuwa mama ndiye anayeleta mvua za vuli na mbaraa kwa wabongo wote na mtu mmoja mmja..

Sina pingamizi na maoni yako hayo.
actually,
nia, mapendekezo na ushauri wangu kitaalamu ni zaidi ya fedheha kwa wangwana kuburuzwa na mwanamama shupavu kwenye sanduku la kura, wakishupaza wanaweza kuingia kwenye historia ya kushindwa vibaya sana katika uchaguzi kwa kushindwa na mgombea mwanamke kwenye uchaguzi 🐒
 
Yeyote aliyehusika kuuza rasilimali za Nchi kwa manufaa binafsi hafai kugombea Uongozi wowote.
 
naomba Mungu anijalie utulivu nifunge mdomo
Amen
ni muhimu zaidi hata kijaribu kumtulivu kiongozi mkongwe wa kisiasa asithubutu kupoteza rasilimali zake kwenye urasi, ni ama apate fedheha ya kushindwa vibaya sana au aingie kwenye historia ya Tanzania kwa kushindwa vibaya sana na mgombea urasi mwanamke 🐒
 
Kwenye uraisi CCM tutatangazwa washindi, huku picha nzima ikionyesha upinzani mkubwa toka kwa wapiga kura na si kutoka vyama vya upinzani.
Hapo mwisho umeandika uhalisia. Upinzani mkubwa ni kwa wapiga kura hawapendi ila hawana mtu sahihi wa kumchagua.

Sikipendi chama tawala ila pia sioni mgombea sahihi wa chama cha upinzani.
 
imani potofu na ushirikina ni miongoni mwa utumwa wa hovyo sana unachochea umaskini wa fikra kwa kiwango kikubwa sana kwenye jamii,

actually,
Mapendekezo na ushauri wangu wa kibobevu kisasa ni kwa nia njema sana na kwa manifaa ya Afya ya mwili na roho ya watu ambao watashindana lakini hawatashinda 🐒
 
Nyerere aliwaambia wazi kabisa upinzani wajikite kwenye ubunge na udiwani uraisi bado sana anyway ni haki yao kugombea kuwinda ruzuku

Lakini 2025 wakitoa mgombea uraisi hasa Chadema watapata kura chache kuliko miaka yote waliyogombea kura za uraisi

Chama kime loose popularity sana
hawapendi kuambiwa ukweli kama hivi, ingawa ndio hali halisi 🐒
 
2025 tunaenda na Mama, hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuunda serikali hata wao wenyewe wanajua
 
Kwenye uraisi CCM tutatangazwa washindi, huku picha nzima ikionyesha upinzani mkubwa toka kwa wapiga kura na si kutoka vyama vya upinzani.
elezea kwa kina kifupi kidogo kwa manufaa ya wadau 🐒
 
Kitu cha msingi ni kwamba uchaguzi uwe wa huru na haki . Akishinda Tundu Antipas Lissu au Samia Suluhu Hassan kwa huru na haki hapo kwenye sanduku la kura ; yote ni heri .
 
Ahsante Kwa mada murua,

Ninamshauri SSH asigombee, 2025 ni mwisho wa uongozi wa mpito.

Kipulizwe kipenga, watu wachukue fomu, mchujo upite,

Hatimaye tupate kiongozi mpya kabisa.
 
Hivi huwa unawazungumzia watanzania gani wanampenda? Kwakweli huku mtaani mpaka wana CCM wamemkataa na kama unabisha aruhusu form zaidi ya moja na uchaguzi huru wa chama chake uone kama atatoboa.
wale ambao watampatia ushindi wa kishindo 2025, actually ni waTanzania wote nchi nzima 🐒
 
Back
Top Bottom