4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wala sina shida na andiko lako ,maana ni haki yako kutoa maoni yako, but zingatia nililo lisema na ikiwezekana mwambie na mwenyekiti wako, 2025 ccm itachakaa vibaya mnomapendekezo na ushauri wangu muhimu kwa wanasiasa wakongwe umekuudhi, dah 🐒