Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzi wake ndipo ulipolalia.Lissu wanamuogopa kama kifo.Kama akitokea kiongozi wa CCM hamtaji Lissu,na apewe zawadi.
mtu anae omba omba kuchangiwa unamuogopaje sasa 🤣

si ndio ushirikina wenyewe huo sasa dah 🤣
 
Kama uliweka mkono wako shavuni kama stendi ya bodaboda unamuwaza mtu fulani ni dhaifu akigombea dhidi ya umtakae,hauoni ni faraja kubwa sana kwako?Wenye akili wangekushauri utulie ili ashindwe ufurahi.Kwani umekaa na akina nani hapo jirani yako hadi wanakwama kukushauri?
unaelewa ukisha kua mbobevu wa mambo haya ya siasa unakua unaona mambo mengi kwa undani zaid,

na matokeo ya utafiti ndio yanakupa urahisi kuyaeleza haya kwa uwazi na lugha rahisi namna hii..
ushauri na mapendekezo yangu ni hiyari si lazima yakizingatiwa kama yalivyo licha ya umuhimu wake mkubwa sana humu nchini 🐒

na ndio maana sikumtaja mgombea yeyote wa upinzani kwasabb hakuna mazingira ya yeye kufua dafu na hasa ukizingatia watanzania wote nchi nzima wimbo ni Dr.Samia Suluhu Hassan mitano tena dah 🤣
 
unaelewa ukisha kua mbobevu wa mambo haya ya siasa unakua unaona mambo mengi kwa undani zaid,

na matokeo ya utafiti ndio yanakupa urahisi kuyaeleza haya kwa uwazi na lugha rahisi sana..

na ndio maana sikumtaja mgombea yeyote wa upinzani kwasabb hakuna mazingira ya yeye kufua dafu na hasa ukizingatia watanzania wote nchi nzima wimbo ni Dr.Samia Suluhu Hassan mitano tena dah 🤣
Hapohapo hauchi kumuota muda wote hata kama unatembea vichochoroni?Huwa unajieleza kitoto sana.
 
Mleta uzi unapenda sana kukashifiwa kwa maneno yasiyokuwa na stahq hebu wakati mwingine Jifunze kuepuka haya maneno yasiyokuwa na staha hata kamq unatumia I'd feki? Unapata wqpi ujasili wa kusema SSH atawaaibisha wagombea wengine? Wananchi wameelimika watasikiliza hoja za mgombea na kuamua kuchagua yupi mwenye sera nzuri. Mmekuwa ni watu wa hovyo sana na Kikundi chenu humu Jamii forums kwa kuleta maandiko ya kijinga ambayo hata mtoto wa miaka 18-25 anayapuuza. Acheni kumfariji SSH kwenye mitandao tusubiri wakati muafaka utakapofika kampeni zianze.
Bila aibu unamtangaza kwamba yeye hanq Mpinzani au tayari kuna mbinu za wizi wa kura na matumizi mabaya ya vyombo vya dola kupora haki za Watanzania? Wakati mwingine ukiwq kama binadamu mwenye moyo wa nyama huwezi ukawa na kiburi na jeuri cha kuanza kumtangaza kwamba SSH ataibuka ni mshindi. Huu ni ujinga usio na kipimo. Ningekushauri ubadirike uwasilishaji wako wa habari. Angalau ungekuwa na mtazamo wa nini kimefanywa na utawala wa SSH na kimeleta tija gani kwa ustawi wa nchi yetu. Acha kumpa moyo kwamba atashinda hilo halipo na liondoe akilini mwako, ifikie wakati mwingine nyie watu wa propaganda mitandaoni mpunguze kumpa matumaini SSH wakati ukweli wa mambo hauko hivyo. Ajiandae kukabiliana na upinzani wenye hoja imara. Punguza kurahisisha mambo kihivyo.
 
Wakati huo naandika huku nakucheka kwa kuanika upeo wako kama bukta mnadani.
unailazimisha Furaha ingawa moyoni una majonzi, right?🤣

hii utaipenda tu mbona,
tuwapende na kuwashauri wazee wetu wasije kujiabisha bana 🐒
 
Staff Sergeant
1724966230836.png
 
Nishie kwa kukueleza kwamba una akili nyembamba kama tishu ya chooni.
Sijui huyu ni Ke au Me lakini ni mweupe tu hana hata la maana nimem quote hapo juu anaishia kureact kwa kucheka tu. Hoja hana kabisa hakuna aliyekuwa anampamba SSH kama Faiza Foxy humu Jamii forums lakini kashalegea na Lucas Mwashambwa amebaki kuwa Comedian tu wa mamububujiko
 
Inasadikika Mwashambwa keshapata teuzi, sasa hivi mapambio yatapungua maana zile zote zilikuwa njaa za uteuzi.

Sasa hivi na yeye atakuwa ana chawa.
 
Mleta uzi unapenda sana kukashifiwa kwa maneno yasiyokuwa na stahq hebu wakati mwingine Jifunze kuepuka haya maneno yasiyokuwa na staha hata kamq unatumia I'd feki? Unapata wqpi ujasili wa kusema SSH atawaaibisha wagombea wengine? Wananchi wameelimika watasikiliza hoja za mgombea na kuamua kuchagua yupi mwenye sera nzuri. Mmekuwa ni watu wa hovyo sana na Kikundi chenu humu Jamii forums kwa kuleta maandiko ya kijinga ambayo hata mtoto wa miaka 18-25 anayapuuza. Acheni kumfariji SSH kwenye mitandao tusubiri wakati muafaka utakapofika kampeni zianze.
Bila aibu unamtangaza kwamba yeye hanq Mpinzani au tayari kuna mbinu za wizi wa kura na matumizi mabaya ya vyombo vya dola kupora haki za Watanzania? Wakati mwingine ukiwq kama binadamu mwenye moyo wa nyama huwezi ukawa na kiburi na jeuri cha kuanza kumtangaza kwamba SSH ataibuka ni mshindi. Huu ni ujinga usio na kipimo. Ningekushauri ubadirike uwasilishaji wako wa habari. Angalau ungekuwa na mtazamo wa nini kimefanywa na utawala wa SSH na kimeleta tija gani kwa ustawi wa nchi yetu. Acha kumpa moyo kwamba atashinda hilo halipo na liondoe akilini mwako, ifikie wakati mwingine nyie watu wa propaganda mitandaoni mpunguze kumpa matumaini SSH wakati ukweli wa mambo hauko hivyo. Ajiandae kukabiliana na upinzani wenye hoja imara. Punguza kurahisisha mambo kihivyo.
gentleman,
mimi nikishaeleza ukweli kinagaubaga tena ukweli mtupu mathalani juu ya kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan,

ukija na mihemko, ghadhabu, dhihaka au hata ukiporomosha matusi mazito mazito dhidi yangu, hiyo kwangu ni useless na nonsense..

lakini pia ukweli ninao ubainisha kwenye hoja na mabandiko yangu ni hiyari yako kukubali, kuukataa au kuuchalenge kwa hoja, mawazo mapya au fikra mbadala...

hiyo kulalamikia sijui ati Dr. Samia Suluhu Hassan anapendwa sana, kwani ni makosa yangu? waTanzania wanafurahia na kupendelea Rais wao kipenzi Dr Samia Suluhu Hassan aendelee na kazi...

ni Muhimu sana kuheshimu uamuzi wa wananch 🐒
 
Sijui huyu ni Ke au Me lakini ni mweupe tu hana hata la maana nimem quote hapo juu anaishia kureact kwa kucheka tu. Hoja hana kabisa hakuna aliyekuwa anampamba SSH kama Faiza Foxy humu Jamii forums lakini kashalegea na Lucas Mwashambwa amebaki kuwa Comedian tu wa mamububujiko
na umeng"ang"ana tu na malalamiko kama yote na kutafuta wa kukutia moyo 🐒

bado nasisitiza kuwasaidia ndugu zetu kujizuia kuja kuaibishwa na mwanamke kwenye sanduku la kura ni Muhimu sana wanaendelea na maisha yao mengine kuliko kushindana na hakuna kushinda uchaguzi 🐒
 
Nishie kwa kukueleza kwamba una akili nyembamba kama tishu ya chooni.
mwenye akili pana relax na upunguze makasiriko mihemko na ghadhabu..

huna hoja, ushauri, mapendekezo, mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mahususi mezani, kaa kimya au pumzika,

sio unakuja hapa kumbwela mbwela na mihemko isiyo na maana yoyote, sawa?

usirudie siku nyingine kuvamia hoja, umeelewa gentleman?alaa🐒
 
gentleman,
mimi nikishaeleza ukweli kinagaubaga tena ukweli mtupu mathalani juu ya kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan,

ukija na mihemko, ghadhabu, dhihaka au hata ukiporomosha matusi mazito mazito dhidi yangu, hiyo kwangu ni useless na nonsense..

lakini pia ukweli ninao ubainisha kwenye hoja na mabandiko yangu ni hiyari yako kukubali, kuukataa au kuuchalenge kwa hoja, mawazo mapya au fikra mbadala...

hiyo kulalamikia sijui ati Dr. Samia Suluhu Hassan anapendwa sana, kwani ni makosa yangu? waTanzania wanafurahia na kupendelea Rais wao kipenzi Dr Samia Suluhu Hassan aendelee na kazi...

ni Muhimu sana kuheshimu uamuzi wa wananch 🐒
Upo kwenye mioyo ya Watanzania wewe? Acha kuwasemea Watanzania wewe tusubiri kwenye box la kura .
Watanzania wanampenda SSH mpaka awabebe kwenye mikutano yake ? Na watu huwa wanaenda kupata burudani ya muziki tu, Watu wanapakizwa kwenye mabasi kilazima, Waalimu na Wafanyakazi wa Halimashauri huwa wanalazimishwa na kuna kuwa na recall kabisa kutoka kwa Mkurugenzi wa Halimashauri acha kudanganya watu wewe. Kama sio wizi wa kura au matumizi ya nguvu za vyombo vya dora kuna upinzani mkali sana uchaguzi ujao. Kwa sababu ni propagandist wa humu endelea kuleta Propaganda tu. Hata hizo propaganda zako 98% zote unapata upinzani na hauoni hata ukifanya sampling unapata majibu?
🤣🤣🤣🤣
Kuwa kibaraka kwa masirahi ya kumfurahisha mtu fulani huo ni utumwa wa fikra.
 
umepigaje hapo,
kumbe hadi kibaraka wa mabwenyeye ya magharibi unamjua, ila anaomba omba kuchangiwa huyo ni balaa 🤣

ni ukweli,
ndoto na matarajio ya vijana, makundi mbalimbali ya wanainchi wote humu nchini ni kwa Dr.Samia Suluhu Hassan..

anaaminika, anakubalika na zaidi sana anapendwa mno kitaifa na kimataifa, na hili liko wazi na bayana zaidi...

amesababisha ushinde wa kishindo wa Dr. Tulia Akson kua Rais wa mabunge duniani IPU, influence yake kimkakati imesababisha ushindi wa kishindo wa Dr.Faustine kua mkurugenzi mtendaji wa WHO kanda ya Africa lakini pia influence yake kimkakati itasaidia Raila Amolo Odinga kua mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa AUC,

na influence yake ndani ya mioyo ya waTanzani itamfanya CCM ipate ushindi wa kishindo kwa madiwani, wabunge na Yeye mwenyewe Rais 🐒
 
mwenye akili pana relax na upunguze makasiriko mihemko na ghadhabu..

huna hoja, ushauri, mapendekezo, mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mahususi mezani, kaa kimya au pumzika,

sio unakuja hapa kumbwela mbwela na mihemko isiyo na maana yoyote, sawa?

usirudie siku nyingine kuvamia hoja, umeelewa gentleman?alaa🐒
Hoja zako wewe ni zipi?
Mapendekezo yako, ushauri wako na fikra zako mbadala ni zipi? Sio kumtabiria SSH atashinda kirahisi tu ?
Kwanza ndani ya chama hakuna mchakato wa kumchagua mtu atakaye ipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao ? Halafu linapokaribia anguko la mtu huwa hata akili uwezo wa kuchakata mambo huwa unapotea kabisa. Msitake kumpamba SSH yaliyomkuta JPM unayakumbuka ?
 
Back
Top Bottom