gentleman,
mimi nikishaeleza ukweli kinagaubaga tena ukweli mtupu mathalani juu ya kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan,
ukija na mihemko, ghadhabu, dhihaka au hata ukiporomosha matusi mazito mazito dhidi yangu, hiyo kwangu ni useless na nonsense..
lakini pia ukweli ninao ubainisha kwenye hoja na mabandiko yangu ni hiyari yako kukubali, kuukataa au kuuchalenge kwa hoja, mawazo mapya au fikra mbadala...
hiyo kulalamikia sijui ati Dr. Samia Suluhu Hassan anapendwa sana, kwani ni makosa yangu? waTanzania wanafurahia na kupendelea Rais wao kipenzi Dr Samia Suluhu Hassan aendelee na kazi...
ni Muhimu sana kuheshimu uamuzi wa wananch 🐒