Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
umepigaje hapo,
kumbe hadi kibaraka wa mabwenyeye ya magharibi unamjua, ila anaomba omba kuchangiwa huyo ni balaa 🤣

ni ukweli,
ndoto na matarajio ya vijana, makundi mbalimbali ya wanainchi wote humu nchini ni kwa Dr.Samia Suluhu Hassan..

anaaminika, anakubalika na zaidi sana anapendwa mno kitaifa na kimataifa, na hili liko wazi na bayana zaidi...

amesababisha ushinde wa kishindo wa Dr. Tulia Akson kua Rais wa mabunge duniani IPU, influence yake kimkakati imesababisha ushindi wa kishindo wa Dr.Faustine kua mkurugenzi mtendaji wa WHO kanda ya Africa lakini pia influence yake kimkakati itasaidia Raila Amolo Odinga kua mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa AUC,

na influence yake ndani ya mioyo ya waTanzani itamfanya CCM ipate ushindi wa kishindo kwa madiwani, wabunge na Yeye mwenyewe Rais 🐒
Acha mipasho wewe unless utanifanya ni ku ignore tu. Andika hoja zenye kueleweka
 
Hoja zako wewe ni zipi?
Mapendekezo yako, ushauri wako na fikra zako mbadala ni zipi? Sio kumtabiria SSH atashinda kirahisi tu ?
Kwanza ndani ya chama hakuna mchakato wa kumchagua mtu atakaye ipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao ? Halafu linapokaribia anguko la mtu huwa hata akili uwezo wa kuchakata mambo huwa unapotea kabisa. Msitake kumpamba SSH yaliyomkuta JPM unayakumbuka ?
kumbe nawe pamoja na huyo muungwana ndio wale wale ambao hata hoja mahususi hamjaelewa ispokua mnaniletea mambo yanayowafukuta mioyoni mwenu?

nadhani kwa wakati huu, mngerudia kusoma tena hoja mahususi ndipo sasa muwe na haki ya kuendelea kujadiliana nami otherwise itakua ni kumbwela mbwela tu na malalamiko yenu yasiyisha 🐒
 
Acha mipasho wewe unless utanifanya ni ku ignore tu. Andika hoja zenye kueleweka
kwani ukiignore ama ukiniblock si unakua tu umenihifadhi mahali salama na ili usinisahau milelele yote, coz siku zingine ukipitia au kuchungulia ignore list yako utanikuta hapo nimetulia tuli 🤣

kubloc au kuignore ni hiyari yako hata bila kumtisha mtu ama kumueleza, you can do that freely as you wish, by the way who are you?

mimi nachapa kazi ya wananchi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa au mbambamba ya mtu yeyote upende, usipende

mimi nimejipanga vizuri sana my friend 🐒
 
kumbe nawe pamoja na huyo muungwana ndio wale wale ambao hata hoja mahususi hamjaelewa ispokua mnaniletea mambo yanayowafukuta mioyoni mwenu?

nadhani kwa wakati huu, mngerudia kusoma tena hoja mahususi ndipo sasa muwe na haki ya kuendelea kujadiliana nami otherwise itakua ni kumbwela mbwela tu na malalamiko yenu yasiyisha 🐒
😂😂😂😂
Kumbe wewe ni mwepesi sana aisee nilikuwa sisomi maandiko yako sasa naanza kula sahani moja na Wewe. Na bado una ushabiki na mahaba ya kitoto sana yaani wewe unampamba mtu eti anakubalika na Watanzania wengine mbona hoja zako za kumpamba humu zinapingwa na asilimia 98 ? Hushangaii ma hawa wa mtandaoni ndio walewale wa mtaani. Acha kujifariji aisee wacha nilale maandiko yako nitakuwa naenda sambamba na wewe. Usimfariji sana SSH ana mlima wa kupanda ana kazi ngumu sana kama ndio atakuwa mgombea maana naona mnampitisha nyinyi Wapambe bila kufuata utaratibu na kanuni na kumpata mgombea urais kwa taratibu za Chama
 
..Samia ana iq ndogo ukimlinganisha na Maraisi waliotangulia.
Mkuu huyu sijui ni Dada sijui ni dume hana hoja ni mwepesi sana hata anachokiandika ni mipasho mitupu. Eti rais kipenzi cha watu atashinda kwa kishindo uchaguzi ujao. Anashindwa hata sample humu za kuona kama anapendwa na Watanzania kweli ?
 
kwani ukiignore ama ukiniblock si unakua tu umenihifadhi mahali salama na ili usinisahau milelele yote, coz siku zingine ukipitia au kuchungulia ignore list yako utanikuta hapo nimetulia tuli 🤣

kubloc au kuignore ni hiyari yako hata bila kumtisha mtu ama kumueleza, you can do that freely as you wish, by the way who are you?

mimi nachapa kazi ya wananchi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa au mbambamba ya mtu yeyote upende, usipende

mimi nimejipanga vizuri sana my friend 🐒
Siwezi kuki ignore kumbe huna hoja kabisa aisee. SSH anapendwa na Watanzania kwanini humu hata wanaomkubali na kumsupport hata asilimia 30 hawafiki? Na wote wanamkosoa kwa hoja. Sasa unavyokuja na hoja zako eti 2025 atashinda kwa kishindo unashangaza sana. Au mnategemea kufanya tena magumashi kama 2020? Aisee hiyo ni laana na kilichomkuta aliyefanya ule mchezo na nyinyi angalieni sana kisije kikawakuta mpaka nyinyi ma pripangandists wa mitandaoni
 
😂😂😂😂
Kumbe wewe ni mwepesi sana aisee nilikuwa sisomi maandiko yako sasa naanza kula sahani moja na Wewe. Na bado una ushabiki na mahaba ya kitoto sana yaani wewe unampamba mtu eti anakubalika na Watanzania wengine mbona hoja zako za kumpamba humu zinapingwa na asilimia 98 ? Hushangaii ma hawa wa mtandaoni ndio walewale wa mtaani. Acha kujifariji aisee wacha nilale maandiko yako nitakuwa naenda sambamba na wewe. Usimfariji sana SSH ana mlima wa kupanda ana kazi ngumu sana kama ndio atakuwa mgombea maana naona mnampitisha nyinyi Wapambe bila kufuata utaratibu na kanuni na kumpata mgombea urais kwa taratibu za Chama
sikilza gentleman,
mimi sili sahani moja mimi nakula zaid ya sinia mbili with non stop,
ni muhimu sana ukalijua hilo la kwanza....

Lakini la pili,
kama kiongozi muandamiz mzalendo wa wananchi ninao wajibu wa kueleza Ukweli kwa uhakika kwama Rais Kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan ndio pekee tumaini la upendo kwa amani, umoja, mshikamano na maendeleo ya waTanzania wote..
kwahivyo nina wajibu wa kuhubiri ukweli huo popote ninapo pata fursa...

mambo ya sijui kufarijiana na ramli mbaki nayo washirikina huko huko, sawa gentleman 🐒
 
🤣🤣🤣🤣
Bhanaaaa weweee ushaanza na kuniambia na Mavyeo yako yananisaidia nini humu Jamii forums?
 
Sasa ukiwatoa hao wawili ni nani mwingine atagombea? Basi Samia atangazwe tu mshindi sasa kuliko kusumbua watu kwenye uchaguzi!
ushauri ni kitu cha bure na kinasaidia sana...

sasa unagombea au unaenda kukamilisha ratiba tu? Nadhani ni Muhimu zaidi busara ikuelekeze vinginevyo ili kuepuka fedheha, gharama na usumbufu usio wa Lazima 🐒
 
🤣🤣🤣🤣
Bhanaaaa weweee ushaanza na kuniambia na Mavyeo yako yananisaidia nini humu Jamii forums?
dhamana nzito za maana na muhimu nilizo nazo si muhimu sana sana ila angalau zikutie moyo kwamba kuna baadhi ya changamoto mnazoziibua kwa busara humu jukwaani mamlaka husika zinawajibika kuzifanyia kazi..

lakini jambo la maana zaidi, kama waTanzania tunashauriana mambo ya msingi na ya maana, lakini zaidi sana kuambiana ukweli bila kificho na bila hofu ya kupigwa vita au kupingwa..

na kwakufanya hivyo tunaweza kupiga hatua za maendeleo kwa haraka zaidi hasa tukiwa chini ya uongozi wa huyu mama Dr Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Huu ukichaa karibuni utakwisha, sijui utageukia kitu gani baada ya hapo?

Najuwa hutaonekana tena humu JF.
 
Siwezi kuki ignore kumbe huna hoja kabisa aisee. SSH anapendwa na Watanzania kwanini humu hata wanaomkubali na kumsupport hata asilimia 30 hawafiki? Na wote wanamkosoa kwa hoja. Sasa unavyokuja na hoja zako eti 2025 atashinda kwa kishindo unashangaza sana. Au mnategemea kufanya tena magumashi kama 2020? Aisee hiyo ni laana na kilichomkuta aliyefanya ule mchezo na nyinyi angalieni sana kisije kikawakuta mpaka nyinyi ma pripangandists wa mitandaoni
kwanza ukiniignore utakosa mambo mengi sana ya kibobevu ya kukukuongezea elimu, uelewa na ufahamu juu ya masuala mbalimbali muhimu ya kidipomasia, kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa...

mbali na hilo,
Dr.Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha wananchi wote waTanzani ndani na nje ya JF, huu ni ukweli mtupu na iko wazi sio la kificho hili...

halafu kwanza wew una IDs fake ngap kwanza humu JF?

ushindi wa kishindo kwa Dr Samia Suluhu Hassan na CCM kwa ujumla ni Lazima sio hiyari gentleman, tumejipanga vizuri bana 🐒
 
Mkuu huyu sijui ni Dada sijui ni dume hana hoja ni mwepesi sana hata anachokiandika ni mipasho mitupu. Eti rais kipenzi cha watu atashinda kwa kishindo uchaguzi ujao. Anashindwa hata sample humu za kuona kama anapendwa na Watanzania kweli ?
pwagu na pwaguzi ndivyo hupeana matumaini namna hiyo dah 🤣
 
Huu ukichaa karibuni utakwisha, sijui utageukia kitu gani baada ya hapo?

Najuwa hutaonekana tena humu JF.
nadhan baada ya kupata ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu ujao, CCM tukakamata dollar, tukaunda serikali na kuongoza nchi nitaadimika kidogo kwasabb nitakua na majukumu mazito zaid ya niliyo nayo sasa,

so,
ni kweli nitaadimika kidogo but mara chache chache nitakuwepo humu JF coz imenilea vyema ndani ya kipindi kifupi sana 🐒
 
Mkuu, hili halihitaji maelezo kabisa. Tulioko ground na tumeamua kutumia akili zetu tunaiona hali halisi
kwamba hali halisi ya kisiasa ground ni kwamba mama Dr Samia Suluhu Hassan ni Rais na kiongozi mwandamizi wa chama na serikali anaeishi ndani ya mioyo ya waTanzania wote right?🐒

ama niaje gentleman?
 
Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako, pengine umeamua kuiangalia hiyo hali halisi kwa namna yako mwenyewe.
 
nadhani ni muhimu kupendana,

sasa kwa mfano unamuona kabisa mtu fulani haiwezi kufua dafu kwa namna yoyote hata kufanya kampeni mikoa miwili tu nchini, unampamba eti anakubalika na anaweza kua mshindi wa Urais kweli?🤣

tuwe wangwana, tushauriane mambo ya maana katika muda na wakati muafaka ndrugu zango,

tuambiane tu ukweli 🐒
Unaelewa ukweli kuwa tunapaswa nchi hii kuachana na CCM kwani kwa miaka 60 iliyopita hawajaweza kuleta maendeleo makubwa zaidi tu ya haya ambayo yanaweza kutokea hata kama hakuna chama tawala. lakini bado unaisapoti CCM licha ya mambo mengi ya hovyo yanayoendelea kwasababu tu unafaidika ki-binafsi na uwepo wa CCM.
 
Back
Top Bottom