umepigaje hapo,
kumbe hadi kibaraka wa mabwenyeye ya magharibi unamjua, ila anaomba omba kuchangiwa huyo ni balaa 🤣
ni ukweli,
ndoto na matarajio ya vijana, makundi mbalimbali ya wanainchi wote humu nchini ni kwa Dr.Samia Suluhu Hassan..
anaaminika, anakubalika na zaidi sana anapendwa mno kitaifa na kimataifa, na hili liko wazi na bayana zaidi...
amesababisha ushinde wa kishindo wa Dr. Tulia Akson kua Rais wa mabunge duniani IPU, influence yake kimkakati imesababisha ushindi wa kishindo wa Dr.Faustine kua mkurugenzi mtendaji wa WHO kanda ya Africa lakini pia influence yake kimkakati itasaidia Raila Amolo Odinga kua mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa AUC,
na influence yake ndani ya mioyo ya waTanzani itamfanya CCM ipate ushindi wa kishindo kwa madiwani, wabunge na Yeye mwenyewe Rais 🐒