Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #101
hebu kua jasiri leo,Unaelewa ukweli kuwa tunapaswa nchi hii kuachana na CCM kwani kwa miaka 60 iliyopita hawajaweza kuleta maendeleo makubwa zaidi tu ya haya ambayo yanaweza kutokea hata kama hakuna chama tawala. lakini bado unaisapoti CCM licha ya mambo mengi ya hovyo yanayoendelea kwasababu tu unafaidika ki-binafsi na uwepo wa CCM.
amua kurudi kijijini kwenu maana umeng'ang'ana mjini muda mrefu sasa kila kitu kigumu kutwa kutwa kulalamikia uongozi tu,
hebu uende kule Kijijini uone maendeleo yaliyoletwa na CCM, uone vijana uliowaacha darasa la 6 wanavyomiliki majumba makubwa na magari ya kifahari,
halafu sasa uwashauri hiyo mihemko yako ya eti cjui chama gani hakifai,
wananchi wa kijijini kwako zaid ya kukuona una tatizo la Afya ya akili, nadhani wengi wao pia watahisi ni ama umekua mganga wa kienyeji mpiga ramli au mshirikina aliekosa wateja na aliepigwa na maisha magumu kwasabb ya uvivu wake 🐒