Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaelewa ukweli kuwa tunapaswa nchi hii kuachana na CCM kwani kwa miaka 60 iliyopita hawajaweza kuleta maendeleo makubwa zaidi tu ya haya ambayo yanaweza kutokea hata kama hakuna chama tawala. lakini bado unaisapoti CCM licha ya mambo mengi ya hovyo yanayoendelea kwasababu tu unafaidika ki-binafsi na uwepo wa CCM.
hebu kua jasiri leo,
amua kurudi kijijini kwenu maana umeng'ang'ana mjini muda mrefu sasa kila kitu kigumu kutwa kutwa kulalamikia uongozi tu,

hebu uende kule Kijijini uone maendeleo yaliyoletwa na CCM, uone vijana uliowaacha darasa la 6 wanavyomiliki majumba makubwa na magari ya kifahari,

halafu sasa uwashauri hiyo mihemko yako ya eti cjui chama gani hakifai,

wananchi wa kijijini kwako zaid ya kukuona una tatizo la Afya ya akili, nadhani wengi wao pia watahisi ni ama umekua mganga wa kienyeji mpiga ramli au mshirikina aliekosa wateja na aliepigwa na maisha magumu kwasabb ya uvivu wake 🐒
 
Sijui nyie CCM maendeleo ni nini kwenu; ulevi uliokithiri wa vijana vijijini na mijini?, umaskini wa kutupa wa watu?, kutekwa na kuuwawa kwa watu kila kukicha?, au ubakaji na ushoga? Hayo ndio mmeweza kuleta nchini kwa wingi.
 
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana.

lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana pia kuepuka kupoteza muda, mali na nguvu ambazo huenda zingesaidia kwenye mambo mengine muhimu ya maisha n.k

lakini pia kuepuka mstuko ambao unaweza kutokana na matokeo mabaya ukilinganisha na matarajio makubwa, ambapo hali hiyo inaweza kusababisha changamoto za kiafya...

ni kiongozi gani wa upinzani nchini yafaa ashauriwe kuachana na mpango huo badala yake aendelee na mambo yake mengine ya maisha?

kwasababu ni vizuri tukaelezana ukweli kwamba mazingira ya siasa za Tanzania kwasasa yanamfavor sana mama Dr.Samia Suluhu Hassan, influence yake katikati siasa za kimataifa imemfanya Dr. Tulia Akson kua Rais wa shirikisho la mabunge duniani IPU, influence ya Dr. Samia ndio imemuweka Dr.Faustine kua mkurugenzi mtentaji mkuu wa WHO kanda ya Africa, lakini pia influence ya Dr. Samia itamfanya Raila Amolo Odinga kuwa Chairman wa Tume ya Umoja wa Africa AUC..

so, influence ya Dr. Samia Suluhu Hassan Tanzania na katika siasa za kitaifa imejaa na kufurika ndani ya mioyo ya waTanzania wote, na kimataifa, influence ya Dr.Samia ni moto wa kuotea mbali, aisee dah!

Atakae thubutu kumchalenge ataishia kupata fedheha na aibu tu kwa familia na chama chake kwenye sanduku la kura...🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma:Kuelekea 2025 - Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao
Nimesoma tu kichwa cha habari.... Fedheha gani wakati kuna kishinda na kushindwa na wapiga Kura tunajua hilo
 
maendeleo ni pamoja haya mawasiliano, engagements na hicho kinachokupa uwezo, haki na uhuru wa kusema chochote bila mbambamba ya mtu yeyote, sawa gentleman. That is development...

hayo mengine ni malalamiko ya kivivu tu kwa wanasiasa na wasiokua na bidii.

maeneo yote nchini huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na maji, umeme, elimu, afya, miundombinu, usafishaji, biashara na masoko ni vya uhakika mno...

hali ya maisha na vipato vya wananchi Tanzania nzima vimeongezeka na kubadilika kwa kiasi kikubwa sana,

na chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan maendeleo ni Bam Bam sana aise vijijini na mijini 🐒
 
Nimesoma tu kichwa cha habari.... Fedheha gani wakati kuna kishinda na kushindwa na wapiga Kura tunajua hilo
wew si kichwa baridi uvivu umekuzonga sana, na haya mambo ni mazito ya kibobevu sana??🐒

halafu mbona simba na yanga mkishindwa tu mnamtimua kocha na kuvunja benchi la ufundi, kwani hua hamjui kuna kushinda na kushindwa?

au ni washirikina nyie?
soma hoja nzima itakusaidi kuongeza elimu , maarifa, ufahamu na uelewa wa masula haya vizuri acha uvivu 🐒
 
nadhan baada ya kupata ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu ujao, CCM tukakamata dollar, tukaunda serikali na kuongoza nchi nitaadimika kidogo kwasabb nitakua na majukumu mazito zaid ya niliyo nayo sasa,

so,
ni kweli nitaadimika kidogo but mara chache chache nitakuwepo humu JF coz imenilea vyema ndani ya kipindi kifupi sana 🐒
Tunakutakia maumivu makali huko utakako tokomea, pengine jehenamu kwenyewe. Hiyo itakuwa ndiyo haki yako sahihi baada ya kuwaumiza waTanzania katika muda huu mfupi mlio kaa madarakani.
 
kazi ya kutumikia umma ni nzito ina kila aina ya maumivu lakini na changamoto mbalimbali.
Lakini kwasababu ya Neema na Baraka za Mungu, amejalia ile bidii ambayo niko nayo katika kazi, amenijalia ustahimilivu, uvumilivu na subra, amanijaali ujasiri wa kupambana sana na vikwazo na setbacks mbalimbali na mapepo kama hili ninaloreply comment yaya, amanijaalia Roho ya kutokukata tamaa licha ya kukutana na washirikina na wapiga ramli kama huyu kalamu na wenzake....

kwa hakika mafanikio haya yote na yale yajayo baadae ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu 🐒
 
Neema na Baraka za Mungu,
Unajuwa "Shetani" alipewa uwezo wa kuhadaa watu na yeye ajionyeshe kuwa kama huyo mungu wako unaye mtanguliza mbele kuzima akili za watu?
Hivi unajiona kabisa kuwa unao uwezo hata wa kumdanganya huyo unayemtumia kuhalalisha maovu yenu?
 
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana.

lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana pia kuepuka kupoteza muda, mali na nguvu ambazo huenda zingesaidia kwenye mambo mengine muhimu ya maisha n.k

lakini pia kuepuka mstuko ambao unaweza kutokana na matokeo mabaya ukilinganisha na matarajio makubwa, ambapo hali hiyo inaweza kusababisha changamoto za kiafya...

ni kiongozi gani wa upinzani nchini yafaa ashauriwe kuachana na mpango huo badala yake aendelee na mambo yake mengine ya maisha?

kwasababu ni vizuri tukaelezana ukweli kwamba mazingira ya siasa za Tanzania kwasasa yanamfavor sana mama Dr.Samia Suluhu Hassan, influence yake katikati siasa za kimataifa imemfanya Dr. Tulia Akson kua Rais wa shirikisho la mabunge duniani IPU, influence ya Dr. Samia ndio imemuweka Dr.Faustine kua mkurugenzi mtentaji mkuu wa WHO kanda ya Africa, lakini pia influence ya Dr. Samia itamfanya Raila Amolo Odinga kuwa Chairman wa Tume ya Umoja wa Africa AUC..

so, influence ya Dr. Samia Suluhu Hassan Tanzania na katika siasa za kitaifa imejaa na kufurika ndani ya mioyo ya waTanzania wote, na kimataifa, influence ya Dr.Samia ni moto wa kuotea mbali, aisee dah!

Atakae thubutu kumchalenge ataishia kupata fedheha na aibu tu kwa familia na chama chake kwenye sanduku la kura...🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma:Kuelekea 2025 - Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao
Hakuna hata mmoja mwenye hofu hata iwapo wakati huu sii fomu tena ila ni watu.Ila bado nia wanayo,sababu wanazo na nguvu,pia ari wanayo.Sasa muamue ama kusuka ama kunyoa,kazi kwenu na woga wenu.
 
Neema na Baraka za Mungu, amejalia ile bidii ambayo niko nayo katika kazi, amenijalia ustahimilivu, uvumilivu na subra, amanijaali ujasiri wa kupambana sana na vikwazo na setbacks mbalimbali na mapepo kama hili ninaloreply comment yaya, amanijaalia Roho ya kutokukata tamaa licha ya kukutana na washirikina na wapiga ramli kama huyu kalamu na wenzake....
EEEEEeeeennnHEEEeeeeeeh!
Hapo sasa.
Tayari umekwisha jifunua kila kitu!

Hizi "tamaduni" za kinafiki zina kikomo chake kama ulivyo onyesha hapa mwenyewe.
Utapeli hata siku moja hauwezi kujificha usitambulike.
 
mkweli hajifichi hata kidogo na ndio maana hapoi wala haterereki,

sio kama ushirikiana wa kificho unao utegemea wewe...

ikiwa natoa mapendekezo, ushauri na nasaha kwa wanasiasa halafu mapepo na washirikina kama wewe bila hata kua na unachalenge ndio unafikia na utapeli,

kwasabb huna cha maana sasa unachoshauri dhidi ya mapendekezo yangu. kama sio ushirikiana ni nini sasa huo?🐒
 
"Ushauri"?
Shetani, tena mvuta bangi kama wewe utampa ushauri wa namna gani?
Hapana. Kazi pekee ya kupambana na shetani ni kumkabili na kumuaibisha. Hiyo kazi ndio wajibu wangu hapa.
 
niondolee uzia bana,
wacha waungwana wasio na mapepo na wasio amini ushirikiana waje kutoa maoni, hoja, ushauri na mapendekezo yao kiungwana...

wewe sasa peleka mapepo yako yakapumzike, na mizimu ya ushirikiana wako nayo ikapumzike...

maana huna, hoja, huna mapendekezo, huna nasaha wala una mawazo au fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani, ni useless tu, sasa mtu kama huyo ndie unakuja hapa mbobevu muandamizi nibabaike nae, haziwezekani hata kidogo 🐒
 
Hilo la "kukuacha" lisahau kabisa. Haitatokea. Hili nilikwisha kueleza tokea mwanzo kabisa.
Kila ninapo kutana na takataka kama hizi ulizo weka kwenye mada, kamwe siwezi kukuacha.
Ukitaka tujadili vizuri; pamoja na kujuwa uhayawani wako, achana na ulaghai wa aina hii unayo jaza kwenye haya matakataka yako na kuyaleta hapa.
 
Back
Top Bottom