Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

uzuri wa kura ni siri
acha kupandikiza matamanio ya moyo wako kwenye akili za watu wengine,utapata kiharusi,hutaamini utakachokisikia,binadamu sio watu wazuri
Sawa jibu hilohilo nawe zingatia upande wako na mgombea wako..
 
Kabisa.... Jamaa alipoingia alikuwa na mentality kwamba private sector ni maadui wakubwa wa maendeleo ya nchi. But alisahau kuwa ni private sector ndio inaajiri zaidi..... Leo hii mpaka kazi za wanawake wa vikundi kazi zake zimechukuliwa na SUMA JKT..... Uppuzi mkubwa kweli
Hivi unafikiri ugonjwa wa bipolar disorder ni mdogo , matunda yake ndio hayo .
 
Mkuu, bila kuathiri uelekeo wako wa kupiga kura, hivi huo ujanja ujanja mnaoukariri humu jukwaani kila wakati ni upi?

Hivi mnapenda watanzania waishi kama mazoba au?

Yaani watu wakitumia akili zao kufanikisha maisha yao nyie mnasema “wanaishi kwa ujanja ujanja”. Toka lini binadamu akaishi bila kutumia akili?.

Nchi ina utawala wa sheria. Kwa nini wanaoihalifu sheria ya nchi wasiwajibishwe na sheria hiyo hiyo wanayoivunja na badala yake mnajumuisha watanzania wote kuwa ni wahalifu, eti wamezoea kuishi kiujanja ujanja?

Na kama sheria zilikuwa zinavunjwa kosa ni la wananchi au serikali iliyokuwa madarakani?

Mkuu utaniwia radhi lakini maoni ya jumla jumla kama hayo yanasadifu ukosefu wa fikra na wivu unaotokana na inferiority complex.

Siasa sio uadui.

Pole sana, naona una uchungu sana.
 
NCHI YETU YA TANZANIA YUMEKUWA NA BUBLE ECONOMY MUDA WA MIAKA 6, TANGU 2008 MPAKA 2015.

Marekebisho yake yangechukuwa muda mrefu, lakini marekebisho nafikiri yamefanya tayari. Mnacho lalamikia wangu wengi tulikua tunaishi katika uchumi ambao matatizo mengi tulitumia kwa kuongeza pesa katika mfumo mzima wa uchumi.

Uchumi tulio nao sasa hivi ndio uchumi halisi wa kibepari ambao kuna chama fulani kina uhubiri.
Bwana Pagan ningeweza kukupa riport ambayo niliitayarishe ambayo ingekupa picha ya ninavyo uona uchumi wetu na Mkuu kabisa nilimtumia.

Naomba ufuatiliye kwenye Inbox yako.
Mkuu ilete hapa hyo ripoti, niongeze maarifa na Elimu
 
Utambue ya kuwa nchi ilishashuswa kutoka huo uchumi wa kati. ambao mlitangaziwa kwa twitter

( Tanzania yashushwa rating ya uchumi wa kati, yadaiwa uchumi wake sio halisi na ukwasi wake hautabiriki hasa katika kupata mikopo ya nje )

Pili Hakuna kampuni iliyokuwa hailipi kodi, makadirio yameongezeka na kodi pia zimeongezeka, na ndio iliyosababisha makampuni lukuki yakafungwa, kwa kipindi cha miaka 5, watu zaidi ya 1M wamepoteza ajira na hakuna ajira zilizoongezeka

NSSF, PSSF serikali hi imeziua, CCM ina madem huko mpaka inashindwa kukopesheka tena
Hiyo ya kushushwa ni fake news , sababu waliotoa rank ya uchumi wa Kati ni institution tofauti na hiyo unayodai tumeshushwa, hivyo inaonyesha hujui mambo ya dunia na ya kiuchumi zaidi ya kudandiadandia mambo.
Ukija mambo ya kodi na watu kukwepe kodi ni jambo la wazi lilokuwa linaeleweka sasa wewe kama hujui hilo basi wewe utakuwa ni tatizo la kudandiadandia mambo ambayo kwako ni giza tororo
 
FOR WORLD BANK USE.
_________

State of Tanzanian Economic today. 9th March, 2018

Deflating the Tanzanian bubble will take several more years. The trick is how to reinstate growth without blowing new bubbles
The economic damage of 2010 to 2015 is proving far harder to dismantle or reverse than what was previously expected. When the finance ministry’s so-called frontloading started in October 2006, the general expectation was for a semester of deflation after which the economy would revert to mean by itself.

That did not happen and 2018, turned out worse than 2016, With hindsight, the reasons are not difficult to spot and there is a long list of impacting factors, but I believe the single most important one is the unprecedented level at which the economy was inflated. This did not only come from the government’s side but was equally ambitiously helped along by credit extension from both banks and vendors.

The government has two main conduits for dumping additional liquidity into the financial system. The first is its wage bill and the second the state’s procurement mechanism through government tenders. There are a number of smaller streams like government pensions, running costs on , consulting fees, PSEMAS, old age pensions, direct social stipends for certain target groups, and the social security fund but all these pale into insignificance compared to salaries and capital projects. And some of these originate from the Pension Funds source, at least from a Cost to Company point of view so they do not pose an additional financial burden on the fiscus but they certainly help bring more liquidity to the consumer side of the economy.

From 2008, the first year in which the effect of the 2007 stimulus showed up in statistics, fiscal income grew nominally by about 18% per year. This carried on until late in 2011 luring many government officials into the false view that this growth was generated by the economy. It was not, and this is the key point to grasp when lawmakers and policymakers have to make up their minds during this year to decide what level of artificial stimulus is required to prevent the ship from keeling over. The economy grew because money was borrowed to pay civil servants and pay for an ambitious collage of infrastructure projects.

Spotting, measuring and defining the extreme housing bubble is easy because it is so extremely out of sync with all other economic indicators. This will eventually turn out to be the most difficult bubble to deflate because it is structural. All the banks’ balance sheets are heavily overweight in mortgages, some as high as 34%. That is a scary statistic, and perhaps the most reliable indicator that disinflationary pressures will be with us for at least four years, but it can be as long as ten.

The second bubble is wages. One of the results of the expansion of the government was that many more consumers with means were created. This started an inflationary spiral that became ingrained in the Tanzanian economy for many years and from which we are still suffering despite the significant and obvious correction which became visible from February last year. Government increments continued to outpace inflation for at least five years, only stoking more inflation in its wake as more and more demands were made for higher wages and for more entitlements.

I still remember being asked in the first month of the current administration, how much I thought the old age pension would go up. I worked out a few basic calculations and said I believe not more than 15%, max 20%, but if it were to be more, we are headed for serious trouble. As it turned, out this single entitlement channel went up by 40%. The actual demand on the fiscal was not large simply because there are not that many old people and disabled people in Tanzania, but the signal it released was all important. It send out a message that the capital market is the widow’s pitcher and that there is no end to the available credit. Elevated wage demands, entitlements, and social support became the norm. You simply had to ask to get.

By far the most important bubble is the one we created in construction, excluding private housing. With all the new buildings, roads, dams, harbours and other infrastructure projects, this sector became the single biggest driver of additional public investment. With this we all too familiar. The tender mechanism became the goose that laid the golden eggs and noveau riche millionaire tenderpreneurs proliferated faster than the biological population growth rate.

What we have today is a pervasive, massively deflated bubble which, for lack of a better description, I call the Tanzania bubble. In short, this translates to the observation that the entire Tanzanian economy was inflated, not only the more painful and visible sectors I mentioned above. The easiest way to make a reliable comparison and to measure the size of the bubble is first to measure local productivity against Kenyan or Rwandan productivity, then compare their incomes to ours, and then to make a cost of living comparison. From a macro perspective, all three point to only one thing- the whole Tanzanian economy has become a bubble, out of proportion with all conventional means to measure the pace of growth and the return on investment.

And nowhere is this more clearly displayed than in the six back to back quarters of contradicting Gross Domestic Product. If the economy were not inflated out of all proportions, the adjustment would have been brief and decisive. The fact that the malaise continues is the number one macro-economic indicator that we have forfeited future growth for the sake of six wild gravy train years.
The only riddle we now need to solve is how to disinflate further the super-sized bubble whilst front loading finances to spur economic development, we have to find the level answer to that twisted knot.

Prepared and presented by :
Gerald M, Magembe. Ph.D.
Samuel Curtis Johnson,
Graduate School of management,
Cornell University, USA.

Consultant and Advisor, to the World Bank Group
 
Unani tega Mkuu, wenyeheshima zao ukiwapa working paper halafu ukaiweka barazani, wanapata taabu, ni uungwana tuu.

Hutoifaidi sana sababu research documents na exhibits siwezi kuweka inaweza ikaniletea taabu. jee naweza kuweka summary tuu. jee unasemaje?
Ni sawa weka hata hyo summary.
 
Hiyo ya kushushwa ni fake news , sababu waliotoa rank ya uchumi wa Kati ni institution tofauti na hiyo unayodai tumeshushwa, hivyo inaonyesha hujui mambo ya dunia na ya kiuchumi zaidi ya kudandiadandia mambo.
Ukija mambo ya kodi na watu kukwepe kodi ni jambo la wazi lilokuwa linaeleweka sasa wewe kama hujui hilo basi wewe utakuwa ni tatizo la kudandiadandia mambo ambayo kwako ni giza tororo
Kijana inaonyesha dunia imekupa kisogo

Inakuaje taasisi kubwa kama hiyo itoe takwimu, kabla ya kujiridhisha. Yani Mataga beberu akikuambia 1 * 1 = 1 unaona sawa ila beberu huyo huyo akirudi akakuambia 0 + 1 = 1 pia unabisha .!
 
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni hayo.... na wale ambao walijiajiri kwa kufungua makampuni kwa sasa wanalia kilio cha kusaga meno, baada ya kuwindup makampuni yao....

Nilikuwa naongea na Mwanasheria moja jana anasema kazi nyingi anazopata kwa sasa ni kuwindup makampuni. Kwa mwezi anawindup makampuni 46-50 na kwa upande mwingine anafungua 2-3 tu. Sasa cheki hiyo ratio mwenyewe uone.. The private sector is tottaly dead!. Na ndio sector ambayo ingechukua vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo. UD inamwaga kila mwaka, UDOM inamwaga kila mwaka, Mzumbe, Tumaini, Muhimbili, TIA na wengine wengi. zaidi ya vyuo 40.... Sasa vijana hao wote hawawezi kuajiriwa sijui na SUMA JKT, TBA,NHC ambao kwa sasa ndio wanafanya kazi zote mpaka za kufagia barabara wakati hizo zilikuwa ni kazi za vikundi vya wanawake na vijana katika mitaa chini ya usimamizi wa Halmashauri.

Jakaya kipindi anatoka aliacha makampuni ya ujenzi ya ndani yalioweza kushindana na Wachina kibao. But look now they are all dead. Kivipi, TRA Kuwabambikizia kesi za madeni, kazi kubwa zote wamechukua makampuni ya nje, kazi za ndani zote za serikali anafanya SUMA JKT, TBA, NHC, mpaka na Magereza. Is simpe local contractors can not survive in that circumstance. Ok!.. Mpaka yale maujenzi ya Halmashauri wameleta mfumo wa Force Account ambao ni ulaji wa watu wa manunuzi bila kujua wanauwa private sekta... Tuliona enzi za Jakaya akipambana kuweka mazingira bora, ndio maana tukaona wazawa wakiflourish kama vile SKOL (now is dead), DELEMONTE (now is dead), MILEMBE (now is dead), MECCO (now id dead), CASPIAN (is almost dead kabaki na kazi za Barrik tu)... the list is endless..

Sasa kwa hali kama hiyo how can You dare to vote for this man again!. No, way unless atuambie kuwa atabadilika na kubadili mfumo wake wa kuuwa makampuni ya ndani. Wahenge wanasema kuuwa uchumi ni suala la siku 2 au tatu ila kuujemga ni miaka 10 t0 20... Hii miaka 5 uchumi umekufa kabisa, mpaka kuja kusimamisha uchumi is not now and haitatokkea kama hatobadilika au kama wananchi tusipoamua kumpa kura Lisu
kumpa kura JPM ni kujiletea matatizo,miaka mitano iliyopita tumeona serikali nzima ikifanya kazi za wizara ya ujenzi,huku sekta zingine zikifa kifo cha mende,kilimo ambacho ndio uti wa mgongo kimekufa kabisa.sekta binafsi zimeumia sana
 
Utawala huu hakuna janja janja,mpe tu lissu kura yako atakufufulia Richmond,hakuna tatizo
Hata akiifufua Richmond itaizidi ile 1,5tl ambayo mpaka leo CAG hajaona support documents za wapi Hela ilipoenda
 
Wa tz wengi maisha yetu tulizoea kuishi kwa ujanja ujanja kaja Magufuli mianya yote kaziba tunaanza kulalamika ila hakuna rais bora kama magufuli kura yangu na yafamilia yangu atapata hakuna shaka ndani yake
Wewe ni mjinga wakulima wa korosho mliowadhulumu nao walikuwa wanaishi kwa ujanja ujanja
 
Kijana inaonyesha dunia imekupa kisogo

Inakuaje taasisi kubwa kama hiyo itoe takwimu, kabla ya kujiridhisha. Yani Mataga beberu akikuambia 1 * 1 = 1 unaona sawa ila beberu huyo huyo akirudi akakuambia 0 + 1 = 1 pia unabisha .!
U ought to be out of your senses, so I would not explain anything further on this , aka sababu hujui na hutaki kuambiwa kwamba hujui na zaidi ya hapo hujui ni institution gani inayotoa hizo ranking , wewe unadandiadandia tu ili mradi umeona kuna basi linapita hapo ulipo
 
Magufuli atashinda kwa kishindo, hata pasipo kura zenu na vibaraka wenu. Nchi hii lazima ijitegemee kwa gharama yoyote, maumivu yapo ila ni ya muda mchache tu. Hakuna kuzaa bila mimba, hakuna mtoto bila kujifungua. Maumivu lazima, ila it's not permanent. Hakuna vya bure, Lissu ana corrupt simple minds ila ukweli anaujua vizuri kuwa vya bure gharama. JPM tano tena, Mungu ibariki CCM, Mungu mbariki JPM.
 
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni hayo.... na wale ambao walijiajiri kwa kufungua makampuni kwa sasa wanalia kilio cha kusaga meno, baada ya kuwindup makampuni yao....

Nilikuwa naongea na Mwanasheria moja jana anasema kazi nyingi anazopata kwa sasa ni kuwindup makampuni. Kwa mwezi anawindup makampuni 46-50 na kwa upande mwingine anafungua 2-3 tu. Sasa cheki hiyo ratio mwenyewe uone.. The private sector is tottaly dead!. Na ndio sector ambayo ingechukua vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo. UD inamwaga kila mwaka, UDOM inamwaga kila mwaka, Mzumbe, Tumaini, Muhimbili, TIA na wengine wengi. zaidi ya vyuo 40.... Sasa vijana hao wote hawawezi kuajiriwa sijui na SUMA JKT, TBA,NHC ambao kwa sasa ndio wanafanya kazi zote mpaka za kufagia barabara wakati hizo zilikuwa ni kazi za vikundi vya wanawake na vijana katika mitaa chini ya usimamizi wa Halmashauri.

Jakaya kipindi anatoka aliacha makampuni ya ujenzi ya ndani yalioweza kushindana na Wachina kibao. But look now they are all dead. Kivipi, TRA Kuwabambikizia kesi za madeni, kazi kubwa zote wamechukua makampuni ya nje, kazi za ndani zote za serikali anafanya SUMA JKT, TBA, NHC, mpaka na Magereza. Is simpe local contractors can not survive in that circumstance. Ok!.. Mpaka yale maujenzi ya Halmashauri wameleta mfumo wa Force Account ambao ni ulaji wa watu wa manunuzi bila kujua wanauwa private sekta... Tuliona enzi za Jakaya akipambana kuweka mazingira bora, ndio maana tukaona wazawa wakiflourish kama vile SKOL (now is dead), DELEMONTE (now is dead), MILEMBE (now is dead), MECCO (now id dead), CASPIAN (is almost dead kabaki na kazi za Barrik tu)... the list is endless..

Sasa kwa hali kama hiyo how can You dare to vote for this man again!. No, way unless atuambie kuwa atabadilika na kubadili mfumo wake wa kuuwa makampuni ya ndani. Wahenge wanasema kuuwa uchumi ni suala la siku 2 au tatu ila kuujemga ni miaka 10 t0 20... Hii miaka 5 uchumi umekufa kabisa, mpaka kuja kusimamisha uchumi is not now and haitatokkea kama hatobadilika au kama wananchi tusipoamua kumpa kura Lisu
Kikwete mlimpenda???

Hayo makampuni yalikua yanapata tender kwa haki??

Tabaka kati ya matajiri wanaopata tender na wasionacho lilikuwaje kipindi hicho
 
NCHI YETU YA TANZANIA YUMEKUWA NA BUBLE ECONOMY MUDA WA MIAKA 6, TANGU 2008 MPAKA 2015.

Marekebisho yake yangechukuwa muda mrefu, lakini marekebisho nafikiri yamefanya tayari. Mnacho lalamikia wangu wengi tulikua tunaishi katika uchumi ambao matatizo mengi tulitumia kwa kuongeza pesa katika mfumo mzima wa uchumi.

Uchumi tulio nao sasa hivi ndio uchumi halisi wa kibepari ambao kuna chama fulani kina uhubiri.
Bwana Pagan ningeweza kukupa riport ambayo niliitayarishe ambayo ingekupa picha ya ninavyo uona uchumi wetu na Mkuu kabisa nilimtumia.

Naomba ufuatiliye kwenye Inbox yako.
Mfumo halisi wa kibepari na soko huria, halafu tenda zote kwa SUMA JKT!!? ... 🤔🤔🤔🤔🤔💥
 
Sasa ndio tunaishi maisha yetu halisi, tukifanikiwa kuvuka hapa tutapaa zaidi kiuchumi.

Hali ya kiusalama ya nchi ilikuwa inaelekea kuwa mbaya sana kama tungeendelea kwa aina ile ya maisha kwa miaka mingine 5 au 10 bila shaka tungeshuhudia vita ya kwanza ya wenyewe kwa wenyewe na ingekuwa baina ya matajiri na maskini. Yaani maskini wangevamia tu nyumba ya tajiri, kuichoma na kujitwalia wanavyoona vitawanufaisha.

Ilifika mahali matajiri walikuwa na fedha nyingi kwa dili chafu na maskini wakizidi kuwa maskini zaidi, hali ilikuwa mbaya mno, aliyemuweka Magufuli hakukosea.

Aendelee for the next five years. I support him.
 
Back
Top Bottom