Ukiza vizuri labda baba yako anajua kitu kwa huyo mliesoma nae.Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika.
Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.
Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.
Kiukweli inashangaza sana.
Hello JF

Hamkuongea?Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
Kuwa makini na matapeli.Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika.
Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.
Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.
Kiukweli inashangaza sana.
Sote sisi ni ndugu toka kwenye shina mojaHello JF

inawezekana mi mwenyewe hili jambo limepungua kwa sababu yananichapa haswaZamani nilikua nafananishwa na watu wengi mara huyu aseme kaniona Dodoma mwingine Kigoma mara hivi mara vile...
Ila maisha yalivyochanganya na kunichapa sura yangu asili ikapatikana. Sasa hivi nina miaka 12+ sijawahi sikia hiyo kauli.
Nikwambie tu bado una sura ya maziwa ya mama, maisha hayajachanganya... Huoni watoto wachanga wengi wanafanana?
Kabisa...GoosebumpHamkuongea?
mm japo hufananishwa na watu wengne, sjawahi kujifananisha na mtu kwa sura!Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
I swear,,nilijiona kwake ....kabisa yaanmm japo hufananishwa na watu wengne, sjawahi kujifananisha na mtu kwa sura!
wewe na wenzako macho yenu yana kitu cha ziada!!
Nae anatako kama lakoMi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
wadhungu asilimia kubwa wanafwanana sana tofauti na huku kwetuUzao wote wakiume kwenye ukoo tumefanana utofauti ni rangi tu.