Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
- Thread starter
- #21
Ila yaweza kuwa kweli mkuu maana hata ndevu sina🙌😂😂😂Zamani nilikua nafananishwa na watu wengi mara huyu aseme kaniona Dodoma mwingine Kigoma mara hivi mara vile...
Ila maisha yalivyochanganya na kunichapa sura yangu asili ikapatikana. Sasa hivi nina miaka 12+ sijawahi sikia hiyo kauli.
Nikwambie tu bado una sura ya maziwa ya mama, maisha hayajachanganya... Huoni watoto wachanga wengi wanafanana?
ingawa nina karibia 30 hv sasa.