Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

Me nafananishwa sana na watu wengi kisa ubanaji wa nywele hizi wanaita natural hair sijui.... Si na mm ninazo bhn.
Basi full kupata offer, sema naogopa nisije fananishwa na mke wa mtu bure ndy maana saizi nasuka sanaaa.
Emu picha yako nikuone.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kawaida tu, kuna rafiki yangu tulikuwa tunasoma nae watu wengi hata darasani walijua sisi ni mapacha kabisa, kuna time watu wengine na walimu walikuwa wanashindwa kututofautisha. So ni kawaida japo kwa case yako kufananishwa na wengi kwangu haikuwa hivyo
 
Wakati mwingine ni ndugu bila wewe kujua!
Mimi Kuna mtu alinifananisha na mtu mwingine, nilipochimba na kufuatilia sana nikaona naye kumbe ni ndugu yangu Mtoto wa inje ya ndoa wa baba yangu mkubwa,
Msiwe mapotezea jaribuni kufuatilia Kwa karibu
Aisee
 
Mungu alitengeneza sample kadhaa za watu na kuzipiga copy . Kinachotofautiana unakuta ni rangi lakini morphology zipo zenye mfanano kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine ,nchi Moja hadi nyingine na bara Moja hadi jingine
 
Niliwahi kuambiwa nafanana na mwimbaji wa Nai Nai[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…