Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Ila hajalenga Soko la Tz, Maana kama nilimsikia vizuri anasema kwamba ametumia 45 milioni mpaka kulikamilisha, Sasa kwa Tz yetu hii tutegemee bado watu watafanya Option ya Kuagiza Used Japan kuliko New ya Hela hiyo.

Brand New car itakuwa mziki kwa majority ya WTZ
Kama ni 45 milioni kibiashara haiwezi mlipa wakati kirikuu napata kwa milioni 7
 
Ila hajalenga Soko la Tz, Maana kama nilimsikia vizuri anasema kwamba ametumia 45 milioni mpaka kulikamilisha, Sasa kwa Tz yetu hii tutegemee bado watu watafanya Option ya Kuagiza Used Japan kuliko New ya Hela hiyo.

Brand New car itakuwa mziki kwa majority ya WTZ
Biashara ya magari ngumu, maana mwanzo inakula pesa ndefu halafu inabidi uzalishaji ukianza product iwe affordable na profit ipatikane. Kajitahidi ila kama project imechukua miezi 11, bila shaka product itakuwa ya kuunga unga maana research, innovation na kutengeneza prototype inachukua miaka mingi.

Ila walau anaishi ndoto zake ame dare kufanya kuliko mimi niliyeko hapa najfanya mjuaji.
 
Waliounda magari wote specifications huweka wazi, huyu ndugu yetu hajagundua hili? Au kuna source nyingine ya kujua maana nilichoambulia ni kumsikia akidai ni gari la nguvu tu basi!
 
Wabongo bwana wajuaji Sana kwenye keyboard. Ndio maana CCM wanatuweza Sana. Hongera Sana Masoud Kipanya. Vijana tufuate nyayo zake. Kila mtu ajaribu kuziishi ndoto zake. Sio unapiga ukunga JF huna lolote na bando la jero.
 
Muziki uko, kwenye kwenda kupata namba ya hilo gari TRA.

Watanzania wengi waliogundua magari na bajaj hadi leo hawajapata usajili wa magari na bajaj zao walizotengeneza
 
Back
Top Bottom