Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwa nini wewe usitumie hio njia ya namna ya kuunda magari? Umewahi soma historia za magari unayoyaona?Achana na stori za vijiweni. Economic advantage kwa Tanzania kuunda magari ni kwa njia ya kufanya assembly.
Kuunda gari mpya kwa uwezo wetu wa kiteknolojia itakuwa hasara kubwa sana na gari zenyewe zitageuka screpa ndani ya miaka miwili.
What KP is doing ni kutufumbua macho ili tuweze kuwaza zaidi namna ya kuingiza magari ya kitanzania sokoni. Kama motivational speaker. Lakini namna magari yatakavyoundwa Tanzania siyo hii anayoitangaza.
Kwa fikra kama zako mtasubiri sana mpaka mje muunde "youtong".
Nikwambie kitu, Youtong ilikuwa ni geleji ya kukarabati magari huko china.
Toyota walianza kutengeneza baiskeli, wakaja pikipiki badae gari.
Ogopa sana watu wenye uthubu, ogopa! Hao ndio walioibadilisha dunia.
Masoud atakuwa mmojawapo.
Wewe unawaza ndoto za namna ya kuunda gari bora mwenzio kaunda gari anawaza kuliboresha.Acha ndoto toka ukafanye ktk ubora kuliko masoud vinginevyo unapiga porojo!