yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 1,830
- 8,636
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaponda wakati yeye hapo hata kutengeneza kijiko hajawahiWabongo bwana wajuaji Sana kwenye keyboard. Ndio maana CCM wanatuweza Sana. Hongera Sana Masoud Kipanya. Vijana tufuate nyayo zake. Kila mtu ajaribu kuziishi ndoto zake. Sio unapiga ukunga JF huna lolote na bando la jero.
Usiwalaumu hizo project zinahitaji bajeti kubwa kiziendesha vipi ni kweli serikali unawapa hizo bajeti?Majamaa ya SUA yapo tu yanalisha panya
Ila hajalenga Soko la Tanzania, maana kama nilimsikia vizuri anasema kwamba ametumia 45 milioni mpaka kulikamilisha, Sasa kwa Tanzania yetu hii tutegemee bado watu watafanya Option ya Kuagiza Used Japan kuliko New ya Hela hiyo.
Brand New car itakuwa mziki kwa majority ya WTZ
Nini amebuni hapo?huo muundo si sawa na hizi suzuki carry za japani zilizozagaa hapa tz?Kabuni muundo wa gari. Sio katengeneza.
hahahahaha.mkuu nikuombe.nifute usemi wangu huoNini amebuni hapo?huo muundo si sawa na hizi suzuki carry za japani zilizozagaa hapa tz?
sina wa kunishika ila nishabuni vingi sana kuna gar niliibuni inauwezo wa kutembea na kupaa dar to mwanza dakika 30 na ipo mpaka sasa sipendi tu kujitangazaWaundie ya kwako mkuu
Umpiku
Ova
Kuunda hapo ni ubunifu, afu dunia ya sasa we njoo na wazo mengine utanunua kwa watuPia mseme ubunifu wake hapo ni nini maana makorokoro yote ni China's
Gari inafanana na katuni zake [emoji23]Wabongo lazima tuwe wabunifu sawa katengeneza gari ila sasa mbona linafanana na katuni zake
Hata kama kuungisha mkono mazinduzi siwezi nunua gari yenye mwonekano wa miaka ya 1810 katu
Duu, nililiona jana , kumbe katengeneza yeye?!!Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi.
Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza.
Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho kulifanyia maonyesho kama anavyotangaza bali aliweke barabara kulifanyia majaribio.
Daima product ya kwanza huwa ina changamoto nyingi sana na kadiri atakavyoliingiza barabarani hili la mwanzo na kulijaribu ataweza kugundua changamoto na kuzitafutia ufumbuzi kabla ya kuanza kufanya commercial production
Hongera sana Kipanya mimi naamini ulichokifanya kitaleta mapinduzi katika fani ya uhandisi nao wataanza kuwa kama wana bongofleva kila mtu anaibuka na product yake
View attachment 2175048
Jikite wewe huko.Ni heri akajikita kwenye baiskeli au pikipiki
msema kweli ni mpenzi wa munguWabongo lazima tuwe wabunifu sawa katengeneza gari ila sasa mbona linafanana na katuni zake
Hata kama kuungisha mkono mazinduzi siwezi nunua gari yenye mwonekano wa miaka ya 1810 katu
Achana na stori za vijiweni. Economic advantage kwa Tanzania kuunda magari ni kwa njia ya kufanya assembly.Wenzetu Malasyia tena chini ya mwembe au garage bubu wanaunda mabus classic. Finishing mfano dashboard, viti, keria ya ndani, taa, vioo nk ndo ununua dukani. Tena wanatumia nyundo, tindo, grenda, welding machine tu. Ndo mabus wanayauza huku milioni 500.
Business model,business plan.View attachment 2175050
Pamoja na kuonekana shujaa bado kuna jambo la kushangaza ambalo mimi nawashangaa watanzania wenzangu.
Nadhani masoud si Mtanzania wa kwanza kuunda gari tena likiwa la umeme tofauti na yale ya mafuta ambayo mengi yamepotezewa na mamlaka sababu wanasema hayana ubora.
Kinachomfanya masoud aonekane ni vile ametumia matangazo, kufahamika, mamlaka husika kama ya uwekezaji nk, ambao watampa support.
But mkumbuke kuna vijana wamekuwa na ujuzi mkubwa sana tatizo ni mamlaka zetu za kiafrika ndizo hazioni vipaji na hata kama zikiona basi ukiwa tayari mikononi mwa wadau wakubwa.