Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Kwa Tz Masood kilichombeba ni umaarufu tu.....ila wengi tu wameshafanya hivyo tena mpaka helicopter pale Tunduma...................
nadhani huyo wa helcopter ni zaidi.maana alifanya ufundi mwenyewe. Masoud itakua alibuni mchoro akapeleka kiwandani
 
Kwa Tz Masood kilichombeba ni umaarufu tu.....ila wengi tu wameshafanya hivyo tena mpaka helicopter pale Tunduma...................
Wivu unakusumbua

Hakuna aliye sera ho wengine don’t feserve

But this is for Masoud
 
wasaidie issue za kilimo,hata cha alizeti mafuta yapungue bei
Kazi ya wataalam wa SUA ni kufundisha wataalam wa kilimo na wanaifanya hiyo kazi kwa umahili mkubwa sana ndugu "Thadei" au unataka hadi washike jembe au waendeshe matrekta ya kilimo ndi ujue wanasaidia kilimo!
 
Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi.

Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza.

Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho kulifanyia maonyesho kama anavyotangaza bali aliweke barabara kulifanyia majaribio.

Daima product ya kwanza huwa ina changamoto nyingi sana na kadiri atakavyoliingiza barabarani hili la mwanzo na kulijaribu ataweza kugundua changamoto na kuzitafutia ufumbuzi kabla ya kuanza kufanya commercial production

Hongera sana Kipanya mimi naamini ulichokifanya kitaleta mapinduzi katika fani ya uhandisi nao wataanza kuwa kama wana bongofleva kila mtu anaibuka na product yake

View attachment 2175048
Kakopi
Screenshot_20220404-130255-418.jpg
 
Back
Top Bottom