Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Wabongo bwana wajuaji Sana kwenye keyboard. Ndio maana CCM wanatuweza Sana. Hongera Sana Masoud Kipanya. Vijana tufuate nyayo zake. Kila mtu ajaribu kuziishi ndoto zake. Sio unapiga ukunga JF huna lolote na bando la jero.
Mtu anaponda wakati yeye hapo hata kutengeneza kijiko hajawahi
Wabongo F sanaaa
Blhblh tu

Ova
 
Yote yale yaliyosemwa sababu ni hiko kigari ?
 

Duhhhhh, hata kwa 10 sichukui
 
Waundie ya kwako mkuu
Umpiku

Ova
sina wa kunishika ila nishabuni vingi sana kuna gar niliibuni inauwezo wa kutembea na kupaa dar to mwanza dakika 30 na ipo mpaka sasa sipendi tu kujitangaza
 
D
Duu, nililiona jana , kumbe katengeneza yeye?!!
 
Most important question How Much....

Kutengenza ni moja ila unaweza kujikuta unatengeneza basikeli yenye production cost ya pikipiki na efficiency ya mtembea kwa miguu...

Ila nampa kudos kwa marketing na ukizingatia ni environmental friendly huweza Benki akaunti yake ikanenepa kwa kupata ufadhili hata kama product yake will never see light of day
 
Achana na stori za vijiweni. Economic advantage kwa Tanzania kuunda magari ni kwa njia ya kufanya assembly.

Kuunda gari mpya kwa uwezo wetu wa kiteknolojia itakuwa hasara kubwa sana na gari zenyewe zitageuka screpa ndani ya miaka miwili.

What KP is doing ni kutufumbua macho ili tuweze kuwaza zaidi namna ya kuingiza magari ya kitanzania sokoni. Kama motivational speaker. Lakini namna magari yatakavyoundwa Tanzania siyo hii anayoitangaza.
 
Business model,business plan.
Tofautisha Hobyst na businessman.
Umewahi futilia promo za Elon Musk ?
Unafikiri Elon ndio mtu wa kwanza kuunda Magari huko USA ?
Business modal approach ndio wengi wanapokwama.
Kuna kitu kinaitwa Fund Rising ktk kukuza kampuni sio kitu cha kitoto,
Mkuu achana na hao watu wa mtaani hawanaga dira.
Masoud anakampuni hao huwa hawana kampuni, je watakopeshwaje pesa?
Nimependa sana appraoch ya masoud, masoud ana vision, naiona future kubwa kwake(big picture).
 
This was designed by Masoud Kipanya but made in South Africa and China .....Lakini sijui kwanini 'sirikali’ haiwezi kukusanya watu kama hawa na kuwajengea kiwanda kwa kufuata miongozo yao na wataalamu zaidi toka nje nasi tukaproduce our own product kama walivyofanikiwa wenzetu Uganda bila kujari kelele za Outsiders?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…