Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

Kwa nini wewe usitumie hio njia ya namna ya kuunda magari? Umewahi soma historia za magari unayoyaona?
Kwa fikra kama zako mtasubiri sana mpaka mje muunde "youtong".
Nikwambie kitu, Youtong ilikuwa ni geleji ya kukarabati magari huko china.
Toyota walianza kutengeneza baiskeli, wakaja pikipiki badae gari.
Ogopa sana watu wenye uthubu, ogopa! Hao ndio walioibadilisha dunia.
Masoud atakuwa mmojawapo.
Wewe unawaza ndoto za namna ya kuunda gari bora mwenzio kaunda gari anawaza kuliboresha.Acha ndoto toka ukafanye ktk ubora kuliko masoud vinginevyo unapiga porojo!
 
Mimi mpaka nione inakimbia barabarani.
 
Kwa kutengenezwa gari kazi, me hapa nikiwa na mtaji , naweza ibuka na product ya gari la umeme, treni ya umeme, baiskeli, pikipiki na kila kitu.
Hata gari la masudi ni la umeme
 
Kama katumia. Milioni 45 kuunda gari moja hapo Hakuna economic of scale
Hapo unapata kirikuu saba kwa kipanya moja.
 
Ametengeneza au ameunganisha kwakutumia assembly kit!
 
Uelewa mdogo au ni nini, umeandika d same nilichoandika hakuna tofauti yoyote na komenti yangu.
 
Kiukweli mi sioni cha ajabu hapo.

Mi naona hapo ni kua ndg. Masoud kapata mtaji na kucheza na fursa kwa kuunda hilo gari.
Sidhani kama wataalamu wa hizo ishu hawapo, wapo ila tu ni vile mtaji, umaarufu na connection kama alizonazo huyu ndgu hawana kwahiyo ni changamoto kwao.

Ukizingatia hizo gari nchi za wenzetu zishaanza kutumika kitambo kidogo, hivyo kwa mtu mtaftaji na mbunifu kama kipanya hiyo ni fursa kwake.

Nampa hongera mno mno kwa uthubutu wake huu mkubwa na uliotukuka.
Sio wote wanaweza kufanya kama yeye, wengi hupenda kutafuniwa lakini yeye kafanya research, bila shaka kasoma vitabu na kuapply alichokisoma. Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…