Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

Umesema ukweli kabisa. Ila mimi nadhani ni watanzania wote tuko hivi. Hata waliokaa ugahaibuni, kuan wenye tabia kama hizi. Kwa kifupi ni hivi: kuliko kuingia ubia na mtanzania ni bora fedha ufanyie starehe angalau uje kukumbuka ulikula good time.
Kwanini usijenge nyumba na upangishe kuliko kushinda kumbi za starehe.
 
Yaani bora uamue kufanya mwenyewe badala ya kusema nafanya kazi huku na huku naajiri mtu

Hiyo biashara wanaziweza majizi serikalini ambapo hana uchungu na hela za wizi bali anatakatishia hapo kwenye mradi

Lakini kama ni hela yako ya halali usiingize kwenye biashara ukamkabidhi mtu

Nimefanya sana biashara na kuwapa vijana nikachoka na wanaume ikabidi nimkabidhi Msichana

Wiki ya kwanza stock take yuko vizuri
Wiki ya 3 akajigawia 80,000 namuuliza ananiambia mama alikuwa mgonjwa sana

Sasa mama yake ananihusu nini mimi huo ni wizi bora angeniomba nilimtimua na kufunga biashara
Watanzania wameshajenga culture ya kuiba sehemu ya kazi. Infact kuiba kazini inaonekana kama ndiyo ujanja na usipoiba unakuwa mjinga kwa jamii.
 
Mimi ni Mkristo kindakindaki lakini kamwe siwezi kufanya biashara ya kuaminiana na Mkristo, walau Waislamu nimeona ni waaminifu wengi wao. Nimefanya kazi nao wawili sikuwahi kudhulumiwa hata senti ila Hawa wengine nakubaliana nawe. Waafrika ustaarabu ni zero.
Wengine huwa wanasoma sana ili waibe na post wanazotafuta ni za kupiga na akipanda cheo ndio matokeo ya EPA, ESCROW na bandari
Bora kuwa masikini kuliko mwenye elimu mwizi
 
Mimi ni Mkristo kindakindaki lakini kamwe siwezi kufanya biashara ya kuaminiana na Mkristo, walau Waislamu nimeona ni waaminifu wengi wao. Nimefanya kazi nao wawili sikuwahi kudhulumiwa hata senti ila Hawa wengine nakubaliana nawe. Waafrika ustaarabu ni zero.
Kinao saidiwa waislamu kua na waaminifu kiasi ila sio wote ni kuogopa dhuruma wanaihimizwa sana misikitini kwamba ukila dhuruma unakula moto tupu......siku ya kiama utaletwa mbele ya ule ulio mdhurumu
View attachment 2685668
 
Kwanini usijenge nyumba na upangishe kuliko kushinda kumbi za starehe.
Hiyo nimetumia sarcasm mkuu. Kuwa; bora uzitumie kwa starehe kuliko kuingia ubia i.e. kuonyesha ubaya ya kuamini biashara ya ubia na mtanzania. Hilo unalolalamikia limeshawapata wengi. Ni utamaduni ambao umeshajijenga kwa siku nyingi. Mbaya zaidi hata wanawake siku hizi wanatapeli waume zao.
 
Watanzania wameshajenga culture ya kuiba sehemu ya kazi. Infact kuiba kazini inaonekana kama ndiyo ujanja na usipoiba unakuwa mjinga kwa jamii.
Kuna kabila moja huwa wanaamini usipoiba ni mpumbavu
Hiyo ilikuwa zamani sana, ila sasa ni nchi nzima

Akikamatwa mwizi wa billions hakuna kufungwa kwa sababu hata aliemkamata na aliepiga kelele upigaji wote majizi

Ndio maana huoni mtu anafungwa kwa wizi
Na kesi ya mkurugenzi wa TPA na wenzake naona wataachiwa karibuni ingawa kuna hela ndefu zimepigwa

Hapo unaona kabisa kuna tatizo la wizi nchi nzima
 
Kinao saidiwa waislamu kua na waaminifu kiasi ila sio wote ni kuogopa dhuruma wanaihimizwa sana misikitini kwamba ukila dhuruma unakula moto tupu......siku ya kiama utaletwa mbele ya ule ulio mdhurumu
Hata wahindi wana asili ya uaminifu. Mhindi hata akikupiga atahakikisha ameleta faida halafu anakata hapo kidogo. Mtanzania anakula mpaka mtaji.
 
Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda mwaogope sana kufanya nao partenership, utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawaja sitaharabika, kama ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.

Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:

Waongo
Sio waminifu kibiashara
Wezi
Wavivu wa kufanya kazi
Matapeli.
Wanapenda raha sana
Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
Limbukeni
Wana showoff za kishamba
Wanaamini kwenye uchawi.
Wanafiki nk.

Ili limetokea kwangu ndugu na rafiki zangu zaidi ya watano the most recent ni huyu rafiki yangu wakaribu alio toka Norway baada mwaka jana ya kuka huko miaka zaidi ya 10 kukusanya mtaji. kamuka asubuhi mbia wake kakimbia na mtaji wote na ofisi imefungwa na simu zake zote hazipatikani. Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.
Naam, nakubaliana na wewe. Kwenye uaminifu wa tz wengi ni chini ya sifuri.
 
Siwezi hata siku moja kumuamini mtu 100%
Waswahili wengi majizi usiamini hata awe mkurugenzi au hata waziri wote ni walewale

Lazima ufanye utafiti mkubwa sana Kama unataka kuwa na mbia na lazima nae awe na at least nusu ya mtaji unaowekeza tena kwa maandishi au awe na mradi endelevu

Sio lazima kuwa na hao unaweza kutafuta wenye asili tofauti hata kama kazaliwa hapo ila amekulia kwenye hela na kuzichezea ( sio condactor)

Kuna jamaa yangu kawekeza kwenye nchi fulani, jamaa walifungua kiwanda cha magodoro wakawa wanahitaji wabia wa kuwekeza kidogo

Akawekeza £30,000 bila kuogopa atatapeliwa yeye yuko uzunguni na kiwanda Africa na amefundishwa na jamaa zake tu

Leo anakula matunda mwaka wa 13 sasa na ni sleeping partner zinaingia kila mwezi

Bongo ukimpa mbuzi 5 mtu mwezi mmoja tu anakuambia wamekufa wote
Swala la ubia, swala la kuajiri ndugu na watu wasio ndugu....ni kilio kikubwa Tanzania, ni nini suluhisho la kudumu la hili?
 
Hata ulaya wanapigwa vile vile...

Hapa Tanzania wapo nawajua wanafanya partnership na wamefanikiwa, na hizi mambo zako za kudharau ndugu zako uache.
Tatizo lipo kwenye sheria zetu katika kulinda biashara.

Ni bahati mbaya sana watu wanakosea kuchagua wenza wa kufanya nao biashara.

Ila kingine wengi wanaamini biashara ni walk in thr park, business is hard, very hard, ikiwa ya jumla ndio balaa zaid maana Kuna madeni na gharama nyingi ambazo hukuzitarajia, Sasa kwenye partnership tatizo huwa linaanza kwenye kueleweshana unforeseen costs.

Lakini nirudie tena, njia rahisi sana ya kuwa Tajiri na kufilisika ni kufanya biashara.
Aya ya mwisho mkuu, naomba ongezea maelezo tafadhali!!
 
Yaani bora uamue kufanya mwenyewe badala ya kusema nafanya kazi huku na huku naajiri mtu

Hiyo biashara wanaziweza majizi serikalini ambapo hana uchungu na hela za wizi bali anatakatishia hapo kwenye mradi

Lakini kama ni hela yako ya halali usiingize kwenye biashara ukamkabidhi mtu

Nimefanya sana biashara na kuwapa vijana nikachoka na wanaume ikabidi nimkabidhi Msichana

Wiki ya kwanza stock take yuko vizuri
Wiki ya 3 akajigawia 80,000 namuuliza ananiambia mama alikuwa mgonjwa sana

Sasa mama yake ananihusu nini mimi huo ni wizi bora angeniomba nilimtimua na kufunga biashara
[emoji1787]
 
Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda mwaogope sana kufanya nao partenership, utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawaja sitaharabika, kama ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.

Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:

Waongo
Sio waminifu kibiashara
Wezi
Wavivu wa kufanya kazi
Matapeli.
Wanapenda raha sana
Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
Limbukeni
Wana showoff za kishamba
Wanaamini kwenye uchawi.
Wanafiki nk.

Ili limetokea kwangu ndugu na rafiki zangu zaidi ya watano the most recent ni huyu rafiki yangu wakaribu alio toka Norway baada mwaka jana ya kuka huko miaka zaidi ya 10 kukusanya mtaji. kamuka asubuhi mbia wake kakimbia na mtaji wote na ofisi imefungwa na simu zake zote hazipatikani. Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.
Ina maana una-generalize kuwa Watanzania wote ambao hawana exposure nje ni wezi na waongo?

Kwanini unafanya hivyo? Ina maana Mufti pia una-generalize kuwa ni muongo kisa umefanyiwa na Watanzania wachache ambao sio waaminifu?

Tatizo ulitumia hisia na Imani kwenye mambo yanayohitaji akili. Wapo Watanzania waaminifu na wachapakazi sana. Ni sawasawa na mtu aseme watu wa jamiiforums wanawaza ngono, hawako serious, je ni kweli Iko hivyo?

Usiwakoseshe watu fursa, sema kuwa watu wawe makini na selections zao basi.
 
Swala la ubia, swala la kuajiri ndugu na watu wasio ndugu....ni kilio kikubwa Tanzania, ni nini suluhisho la kudumu la hili?
Tatizo linaanza tangu udogoni yaani mtoto anaona mwalimu anaiba chakula cha wanafunzi (ushuhuda upo)
Na yeye anaiba kalamu ya mwanafunzi baada ya kupoteza ya kwake
Mtoto hafuatiliwi na mzazi na haangalii bag lake
Mtoto haulizi kalamu kumbe mwizi

Wafundisheni watoto kuwa na maadili na pia msiwafanye wasiijue hela wapeni hata 200 mara moja moja hata 500 sawa azoee hela

Sasa kama msukuma anasema alikuwa anaiba dhahabu kupitisha mpakani unategemea mtoto akimuona kiongozi anaongea hivyo au mwanae ataacha kuwa mwizi?

Sisi tulikuwa tunapewa hela kuzihesabu tulipokuwa wadogo na tulikuwa tunaona jambo la kawaida na tumekuwa tunaziona
 
Kuwajenga watoto tangu wakiwa wadogo... nimekuelewa mkuu.

Nimeona maelezo ya mzee Wa NJEE YA BOX (Mh. Kigwangala) mitandaoni, nimeona maelezo yake jinsi alivyoibiwa, na watu aliowaamini. Pia ulisoma michango (comments) za watu wengine nao wanalalamika kuibiwa na ndugu nk. Suluhisho kwa watu ambao hawajajengwa tangu wangali wadogo ni lipi mkuu, kwa uzoefu wako?
 
Back
Top Bottom