Hata ulaya wanapigwa vile vile...
Hapa Tanzania wapo nawajua wanafanya partnership na wamefanikiwa, na hizi mambo zako za kudharau ndugu zako uache.
Tatizo lipo kwenye sheria zetu katika kulinda biashara.
Ni bahati mbaya sana watu wanakosea kuchagua wenza wa kufanya nao biashara.
Ila kingine wengi wanaamini biashara ni walk in thr park, business is hard, very hard, ikiwa ya jumla ndio balaa zaid maana Kuna madeni na gharama nyingi ambazo hukuzitarajia, Sasa kwenye partnership tatizo huwa linaanza kwenye kueleweshana unforeseen costs.
Lakini nirudie tena, njia rahisi sana ya kuwa Tajiri na kufilisika ni kufanya biashara.