umesoma boarding nini?
haipendezi mwanamme kufika miaka 45 bado hajajenga hata kama ni kibanda cha tope, hii huonyesha kiwango chake cha malengo na yuko 'realistic' kwa kiwango gani.
Duu Kongosho hapo hapana,kipindi hiki cha M.K.W.E.R.E hata mkate wa kuweka mezani ni mbindi kweli kweli,itakuwa hiyo kuwa na japo kakibanda.Au tunabahati mbaya sie tunaoangukia miaka hiyo kipindi hiki.Just wondering
Haipendezi dume zima kukatwa kucha na kusuguliwa mikono na miguu tena na mwanaume mwenzako!
ha ha ha, unakuta anasuguliwa uzo na shingo hadi anafumba jicho moja lol