Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

haipendezi mwanamme kufika miaka 45 bado hajajenga hata kama ni kibanda cha tope, hii huonyesha kiwango chake cha malengo na yuko 'realistic' kwa kiwango gani.

Duu Kongosho hapo hapana,kipindi hiki cha M.K.W.E.R.E hata mkate wa kuweka mezani ni mbindi kweli kweli,itakuwa hiyo kuwa na japo kakibanda.Au tunabahati mbaya sie tunaoangukia miaka hiyo kipindi hiki.Just wondering
 
haipendezi mwanamme anapofanya biashara na mwanamke, kutaka kumgeuzia kibao na kumla.
Haipendezi kabisa, inaua hamasa ya kazi
 
weka hata kibanda cha tembe, ujue ukiondoka watoto utawaachaje?

Duu Kongosho hapo hapana,kipindi hiki cha M.K.W.E.R.E hata mkate wa kuweka mezani ni mbindi kweli kweli,itakuwa hiyo kuwa na japo kakibanda.Au tunabahati mbaya sie tunaoangukia miaka hiyo kipindi hiki.Just wondering
 
Haipendezi dume zima kukatwa kucha na kusuguliwa mikono na miguu tena na mwanaume mwenzako!
 
Haipendezi mwanaume kupata mshahara then uishie kwenye heshima ya bar!
 
haipendezi mwanaume kumchojoa demu na kuanza kumtangaza!
 
Haipendezi mwanaume kununuliwa pombe wewe na mkeo pia!
 
Haipendezi mwanaume kujisifia kuwa umenunua vitz au raum au mark 2 yeyote ile!
 
Haipendezi mwanaume kufanya house party kwenye nyumba ya kupanga tena mitaa ile ya high density!
 
Wacha niendelee, haipendezi mwanaume kurudi umelewa na kuachia kojo au matapishi sitting room au store!
 
haipendezi mwanaume kukata mauno kwenye rusha roho! Au hata kuwa mpenzi wa rusha roho!
 
Haipendezi mwanaume kuvaa boxer au soksi mara mbili au zaidi bila kuifua hata kama unazo mbili.
 
Haipendezi mwanaume kumtaka mwanamke akulambe nanihii wakati una mifangasi. Lols!
 
Bondpost, una hasira nao?

Haipendezi mwanamme kusuta wala kusutwa.
 
Back
Top Bottom