Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
3. Haipendezi mwanaume kuvaa vijinguo vya kubana kama 'skinitait' eti fashion
mbaya sana......na kutilia viatu vyenye ulimi kama wa mbwa....aaghh....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3. Haipendezi mwanaume kuvaa vijinguo vya kubana kama 'skinitait' eti fashion
Bondpost, una hasira nao?
Haipendezi mwanamme kusuta wala kusutwa.
Haipendezi mwanaume kununua ka-vista au ki-gx 110 na kila akishuka anatingisha funguo kama amepaki CESSNA two seates! (ni jet hiyo jamani sio AUDI AU LAMBORGINI AU ASTON MARTIN).
Haipendezi mwanaume kila ukienda madale au mabwepande kwenye ka-site kako ka square meter 700 na kuanza kupigia watu eti upo site ujenzi unakutesa! Duh!
Haipendezi mwanaume ukaomba mkeo mchezo akakunyima halafu ukamwacha hivihivi tu.
Mmhhh, is this practical!!!!Na haipendezi umetoka bar, unanuka makwapa, mapombe changanya na masigara, ugoro au miraa na huko chini acha kile kidusu cha kule kwenye mas..bur.i, then uanze kumparamia mkeo bila kuoga na kujisafi domo lako halafu ndio full kuongea!
ha ha ha, afu unakuta kaulamba suruali zile pana za kushona zina marinda hapa mbele.
Kiatu kapiga four angle kimenyanyuka mbele balaa, anatikisa funguo hadi mwili mzima unayumba yumba.
Polepole tasavali!Na ndio labda ofisini amelilia tripu ya kwenda hapo botswana au cape town, woiii, kila akiongea lazima aseme 'its like when i was in botswana' mxchyuuu! Botswana and you to hell, who cares na kagari kako kanyongeza ka dola elfu nne!
Mmhhh, is this practical!!!!
Unahitajika uvumilivu upitao ubinadamu.Hujaonaga mazee? Ohooo! Kuna watu wanaitwa 'wanaume' bana' yani huyo ni tofauti na mwanaume mstaarabu. Yeye hajui hilo ni kapiga mabia na ma-sport au SM, then akija home after a day long ni kutapika then kitandani na kuanza kupapasa mamaa! Yukhhh! Damn! Wapo mkuu, tena kwa bongo hii.
Unahitajika uvumilivu upitao ubinadamu.