Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

3. Haipendezi mwanaume kuvaa vijinguo vya kubana kama 'skinitait' eti fashion

mbaya sana......na kutilia viatu vyenye ulimi kama wa mbwa....aaghh....
 
Bondpost, una hasira nao?

Haipendezi mwanamme kusuta wala kusutwa.

Ha ha ha ha! Si tumeamua kuwaongelea wanaume? Au kuna tatizo madame? Tena haipendezi mwanaume kuwa na wallet wakati hakuna japo chenji ya wekundu mmoja!
 
Haipendezi mwanaume kupenda football zaidi ya mkewe na kwenda kuangalia bar wakati nyumbani hajaweka hata star times au agape!
 
Haipendezi mwanaume kumfatafata mkewe kila anakoenda bila ya sababu ya msingi zaidi ya mawivu na kutojiamini.
 
Haipendezi mwanaume kurudi nyumbani na kulala doro! Kitu imesinyaa kisa eti limechoka full matumbo yamejaa nanihii za maliwatoni.
 
Haipendezi mwanaume kuchart na simu busy wakati umekaa na mkeo au washkaji for beer mbili tatu au a date!
 
Haipendezi mwanaume kununua ka-vista au ki-gx 110 na kila akishuka anatingisha funguo kama amepaki CESSNA two seates! (ni jet hiyo jamani sio AUDI AU LAMBORGINI AU ASTON MARTIN).
 
Haipendezi mwanaume kila ukienda madale au mabwepande kwenye ka-site kako ka square meter 700 na kuanza kupigia watu eti upo site ujenzi unakutesa! Duh!
 
Haipendezi mwanaume kila ukilipa ada ya watoto hapo st. Marys unatangaza kwa kila mtu eti umechacha sababu ya ada ya watoto wako!
 
ha ha ha, afu unakuta kaulamba suruali zile pana za kushona zina marinda hapa mbele.
Kiatu kapiga four angle kimenyanyuka mbele balaa, anatikisa funguo hadi mwili mzima unayumba yumba.

Haipendezi mwanaume kununua ka-vista au ki-gx 110 na kila akishuka anatingisha funguo kama amepaki CESSNA two seates! (ni jet hiyo jamani sio AUDI AU LAMBORGINI AU ASTON MARTIN).
 
Umenichekesha hadi machozi lol

usiwatanie ya ukweli, sema ya kiongo ongo.
Watakubansen bana

Haipendezi mwanaume kila ukienda madale au mabwepande kwenye ka-site kako ka square meter 700 na kuanza kupigia watu eti upo site ujenzi unakutesa! Duh!
 
Haipendezi mwanaume ukaomba mkeo mchezo akakunyima halafu ukamwacha hivihivi tu.

Na haipendezi umetoka bar, unanuka makwapa, mapombe changanya na masigara, ugoro au miraa na huko chini acha kile kidusu cha kule kwenye mas..bur.i, then uanze kumparamia mkeo bila kuoga na kujisafi domo lako halafu ndio full kuongea!
 
Mmhhh, is this practical!!!!
 
ha ha ha, afu unakuta kaulamba suruali zile pana za kushona zina marinda hapa mbele.
Kiatu kapiga four angle kimenyanyuka mbele balaa, anatikisa funguo hadi mwili mzima unayumba yumba.

Na ndio labda ofisini amelilia tripu ya kwenda hapo botswana au cape town, woiii, kila akiongea lazima aseme 'its like when i was in botswana' mxchyuuu! Botswana and you to hell, who cares na kagari kako kanyongeza ka dola elfu nne!
 
Polepole tasavali!
 
Mmhhh, is this practical!!!!

Hujaonaga mazee? Ohooo! Kuna watu wanaitwa 'wanaume' bana' yani huyo ni tofauti na mwanaume mstaarabu. Yeye hajui hilo ni kapiga mabia na ma-sport au SM, then akija home after a day long ni kutapika then kitandani na kuanza kupapasa mamaa! Yukhhh! Damn! Wapo mkuu, tena kwa bongo hii.
 
Unahitajika uvumilivu upitao ubinadamu.
 
Back
Top Bottom