Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
kwasababu gani?So sad😢
Sijui nimesema tukwasababu gani?
Kweli Kila kazi ina marupurupu yake.Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
ooh safi sanaSijui nimesema tu
👊ooh safi sana
Kweli we mchawi!Mimi Hii kazi naipenda Sanaa Maana Napenda kupiga chabo kuliko kulaaaa.... Nipe location nije kukusaidiaaa
😅😅Hujapona tezi dume bado umeleta jingine.
Umefanya nini tena mamnyang'odeUmeniona nini?🌚
Nimeonekana lodge ba mnyang’ode!Umefanya nini tena mamnyang'ode
Kumbe ndio maana hupokei simuUmeniona nini?🌚
Mbona napokea! Nipigie video call unione!Kumbe ndio maana hupokei simu