zimwi la kumtisha baba mwenye nyumba. ni kusikia anagongewaAstaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
Loji kuna chawa na kunguni mamnyang'ode tafuta pesaNimeonekana lodge ba mnyang’ode!
Ba mnyang’ode naomba ela nadaiwa hapa loji king’asti hana mia mbovu!Loji kuna chawa na kunguni mamnyang'ode tafuta pesa
Ila SeranUmeniona nini?🌚
Tokea zamani ujue
Kwanza ni chabo ya Bure halafu pili si utakuwa na uwezekano WA kupata huduma Kirahisi .....wateja WA kike ukiwachombeza mara kadhaa tuu wanakupaaKweli we mchawi!
Niambie shemela
Duhh kuwa makini tuKwanza ni chabo ya Bure halafu pili si utakuwa na uwezekano WA kupata huduma Kirahisi .....wateja WA kike ukiwachombeza mara kadhaa tuu wanakupaa
Kaka Wewe ni WA viganja Kabisaaa 😭😭😭🥵Hatari sana mkuu
Kuna mwaka baada ya life kunipiga mjomba angu alinipa nyumba yake huko maeneo fulan hapa dsm Ina vyumba 5 zaman ilikuwa gest nam nikaanzisha gest bubu ilijificha Sana hata gar haliwez kupitia s unajua ujenz wa jiji hili uswaz
Bwanaeee kaz ilikuwa ya hela ila Siri inahutajika sana maana majiran wako ndio wateja wako wengine unaowaheshimu kabisa na wanamamlaka kanisan na misikitin
Wazee age go hasa wababa wanamilik watoto wazur
Kuna siku jamaa alileta shoga dah yaan .... Nashindwa hata kusimulia na hapa ndipo niliamua kusitisha biashàra kabisa yule msenge aliyoyafanya ...kifup alikunya kabisaaa tena Yale ya bata
Hio biashàra inahtaj uvumilivu hasa kwa wahudumu
Sichungulii Dirishani Wala nakuwa na lens yangu kwa mbali na zoom tuuDuhh kuwa makini tu
Umepata mamnyang'odeBa mnyang’ode naomba ela nadaiwa hapa loji king’asti hana mia mbovu!
Duh kwahyo unashauri watu waendelee na Umalayaaaa?Acha watu wa enjoy jamani 😛
Unazidi kuongeza uzoefu 😀Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
Duhh😤Hatari sana mkuu