Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

Don't get it twisted, love is a beautiful thing,
It's Don Jazzy again....
 
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.

Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
sasa wewe ulitaka wana ndoa wasionje ladha tofauti ya vibamia plus mbunyez
 
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.

Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
Kwenye hizo kazi jifunze kuwa na KABA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…