Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Tindo hapa ni formula nyepesi tu IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM.Mkuu leo ndio rasmi cdm imegeuka kuwa NCCR, tutabaki wapinzani wa kweli bila kutegemea chama chochote cha siasa.
Inaonyesha kati ya mnyima na mbowe kuna sintofahamu maana ukisikia kauli ya mdee anamshukuru sana mbowe ma sio katiba hapo inaonyesha mbowe kabariki.John Mnyika hatukuelewi
Unasema hivyo Kama Nani?Huna Moral authority ya kukishauri chama chochote cha upinzani!Cha msingi andika mazuri ya CCM,huna credibility ya kuzungumzia mambo ya upinzani!
Pole sana Tindo hapa ni formula nyepesi tu IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM.
Muhimu ninmshikamano kama Taifa tuvuke pamoja.
We Mzee vipi? nani asiyejua dola imepenyeza rupia kwenye njaa?? ndani ya hilo kundi kuna kirusi kilichosambaza upendo... na ni kweli kimefanikiwa kukamlisha deal - Wazungu wanasema "Deal Done" !!Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.
Ni kwa vile uelewa wako ni wa kiwango cha chekechea! Subiri tamko la ChademaMnyika achana naye, inategemea anaongea wakati gani na yuko katika hali gani kipindi anaongea, akina H.Mdee hawawezi kufikia uamuzi kama huo bila yeye kama KM kujua, hivyo Mnyika ni wa kuhurumia tu, ...
Kama Ni hivyo basi CHADEMA wananukia rushwaWe Mzee vipi? nani asiyejua dola imepenyeza rupia kwenye njaa?? ndani ya hilo kundi kuna kirusi kilichosambaza upendo... na ni kweli kimefanikiwa kukamlisha deal - Wazungu wanasema "Deal Done" !!
Narudia tena, kilichofanyika ni kwenye njaa watu wamepenyeza rupia na ngoma imetiki- na hii imekuwa tatizo kubwa kwa wanasiasa wa Tanzania hasa vijana kutokuwa na misimamo ya pamoja, kujali tumbo yao kwanza kuliko maslahi ya Taasisi wanayoisimamia kama viongozi.
Kwanza wengi wa hao wamenyanyaswa kijinsia wakati wa kampeni, sasa kukubali kula matapishi ni kuhalalisha hayo yote waliyotendewa kuwa yalikuwa ni halali .. ni sawa kwao lakini si sawa kwa taasisi.
Maamuzi ya Taasisi lazima yaheshimike, hutaki kuyaheshimu kanuni ipo wazi kabisa.