Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Wanabodi,
Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au hivi vitu ninavyo vizungumza humu, vitokee!.
Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa kwa matendo yake.
Kuna hii hoja ya kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!, kama tulifanya kosa, na kosa hilo likawa lina the consequences, tukirudia kosa lile lile, then the consequences are likely to be the same!.
Uzuri wa makosa ya karma, they are reversible, kabla ya the consequences, unaweza kuzuia hizo consequences kwa kufanya marekebisho ya hayo makosa, hivyo kwenye hiyo sauti ya the voices from within, nimeelezwa Tanzania tunapaswa kufanya marekebisho ya makosa yetu ASAP vinginevyo tujiandae to pay for the consequences.
Sauti hiyo haikunieleza turekebishe nini wala turekebisheje, ila pia haikunieleza the consequences zitakazo tokea kwa kutorekebisha ni consequences gani.
Ila kwa huku bara Tulifanya kosa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi 2019/2020, kabla ya Uchaguzi huo kuna watu humu tulisema sana, tulishauri sana, tukaweka the consequences za kupuuza huo ushauri, mimi nikiwa mmoja wao Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Ushauri huo ukapuuzwa, the consequences ya kuupuza ushauri huo, ni kile kilichokuja kufuata, naomba nisikitaje nikaoneka bure kuwa ni mchawi!
Kabla ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024/2025 tukashauri tena, kwa kusisitiza uchaguzi wa 2019/2020 tulifanya makosa, hivyo tusirudie makosa, tukirudia makosa, the consequences will be the same, PreGE2025 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
- Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!
- Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
- Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
- Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
- Kuelekea 2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
- Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?
- PreGE2025 - Siku 30 za Mwisho za Bunge Hili, ni Muda wa Mwisho wa Kufanya Minimum Reforms ili Uchaguzi uwe Huru na wa Haki or Tufanye tu Illegal Elections?
- PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
- Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!
- Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?
- Upinzani sio Uadui,Wakosoaji ni Watu Muhimu Wenye Upendo wa Dhati, Wanasaidia Kuliko Machawa Wanao Sifia Tuu Hawana Msaada-Dr Ellie Chomoza,Clouds TV。
- Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
- Amani ya Nchi:Mhimili wa Serikali, Bunge, Mahakama Kimya! Mhimili wa 4 The Media Hatunyamazi, Leo Saa 3:30 Angalia Star TV, Usikose!
- Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!
- PreGE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
- Bunge linatimiza wajibu wake kikamilifu utungaji wa Sheria na kuismamia Serikali?. Nani kati Bunge na serikali anayetutungia hizi Sheria Batili?!
- Bunge letu, Bunge Kibri, Jeuri? Linawezaje kutunga tena Sheria batili? Limeamriwa kuondoa ubatili huo, linapata wapi jeuri ya kuidharau Mahakama?
- Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?
- Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...
- Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?
- Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?
- Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?
Kilichotokea October 29 sote tunakijua, tulipuuza kuziba ufa, sasa tunahangaika kujenga ukuta!.
Ushauri wangu haukuishia Tanzania Bara pekee, hata Zanzibar pia nilishauri, tena mimi siishii kuandika mitandaoni tuu, naandika hadi magazetini https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...ponya-makovu-ya-mapinduzi-ya-zanzibar-4889656
Zanzibar bado kuna tokota, ACT Wazalendo wamegoma kwa kususa kupeleka majina ya watu wao kuteuliwa SUK , hivyo nimeshauri rafiki yangu Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,waache mgomo na kususa, wapeleke majina ya SUK,mambo ya kususa susa hakusaidii kitu. Kama yeye OMO ametosheka na ving'ora then sio lazima yeye awe VP1, ACT Wazalendo wanaweza kumteua mtu mwingine yeyote akawa VP1, hata Jusa, Dimani hata Ally Saleh Albeto! Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU
Naendelea kuwasisitiza serikali zetu ziwe sikivu, kiburi sii maungwana, gharama Tanzania tunayolipia for not doing the right thing ni kubwa mara mia kama tungefuata ushauri tunaopewa and do the right thing, na kitu kibaya zaidi, sio kufanya kosa, kwasababu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, halafu hao waliotukosesha ni hao hao hawafanywi chochote as if nothing happened !.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali