Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?

Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?



Wanabodi,

Naendelea kuwasisitiza serikali zetu ziwe sikivu, kiburi sii maungwana, gharama Tanzania tunayolipia for not doing the right thing ni kubwa mara mia kama tungefuata ushauri tunaopewa and do the right thing, na kitu kibaya zaidi, sio kufanya kosa, kwasababu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, halafu hao waliotukosesha ni hao hao hawafanywi chochote as if nothing happened !.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Leo tarehe 29 October, 2026 ni kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kilichotokea October 29, 2025. Mimi naiadhimisha siku hii kwa kutafakari kwa kuyatembelea mabandiko yangu, ya post October 29, 2025.

Ila Watanzania tuendelee kupeana pole, kwa kilichotokea, mwaka mmoja ni kipindi kirefu, kuna badhi ya wenzetu wame heal kutokana na muda mrefu kupita, katika kumbukizi ya kilichotokea, tukumbuke kwa kiasi, tusije kujikuta tunapitiliza na kufumua makovu, na kutonesha tena kile kidonda na kuleta machungu upya, tujifunze kusamehe hata bila kuombwa msamaha, ili maisha yaendelee.

Mungu Ibariki Tanzania.

Mzee Pasco.
 
Back
Top Bottom