Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa.
Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako!

Wanaotengeneza hizo silaha wenyewe huko Magharibi wala huwa hawazifanyii maonyesho ya kisiasa bali ya kibiashara. Wanafanya hayo maonyesho huko Asia mfano Russia, China, Korea Kaskazini na Pakistan wao wanaotengeneza silaha.

Ni ujuha kufanya maonyesho ya silaha ulizozinua tu kwa sababu kila taifa linaweza kununua silaha au kupewa.
Screenshot_20260512-192049~2.jpg
 
Yani unaonesha una siraha hatari ambazo hata mwenzako akitaka atanunua
Kuna muda hadi naichukia Afrika kumbe nakosea najichukia mim mwenyewe
Africa yetu ina vitu vya kuchekesha, kukera na kusikitisha sana kwa pamoja kutoka kwa watawala wetu.
 
Back
Top Bottom