Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Watu wengi waliofikisha umri mkubwa huwa wapo tofauti kiufanisi kwenye sex ..kwa wanaume nguvu ushuka sana na kukurukakara upungua sana kitandani ..kwa wanawake ugumu wa kuwafikisha kileleni unaongezeka umri unavyo zidi kwa wanaume nguvu zinashuka umri unavyo zidi . Sasa tumia akiliAcha kuchanganya mambo
1)mwanamke ugumu wa kumfikisha kileleni uongezeka kwa kadili umri wake uzidivyo..
2)wanaume nguvu za kusex na hisia upungua kwa kadili umri uzidivyo...
Sasa ukitumia akili utajua hiyo CROSS inasababisha wamama kutaka vijana na wababa kutaka wasichana wadogo ...
Mama wa 50 akitafuta mbaba wa 60 ni ngumu kumpata mwenye nguvu maana kiasili nguvu za kiume ushuka kwa kadili umri unavyo zidi